-
Watu 12 wauawa na kujeruhiwa kwa risasi Florida, Marekani
Jun 05, 2017 23:00Watu 12 wameuawa na kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi katika wilaya ya Orlando, jimboni Florida nchini Marekani.
-
ICC: Mauaji ya kutisha CAR lazima yakomeshwe
May 24, 2017 03:22Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amelaani vikali mauaji ya kutisha yanayofanyika Jamhuri ya Afrika ya Kati huku ikitaka mapigano mapya yanayoendelea katika mji wa Bangassou, karibu na mpaka wa nchi hiyo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yasitishwe mara moja.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya
May 19, 2017 03:00Makumi ya watu wameuawa baada ya vikosi tiifu kwa makundi hasimu ya kisiasa nchini Libya kukabiliana huko kusini mwa nchi.
-
Msalaba Mwekundu: Waliouawa CAR ni zaidi ya watu 115
May 17, 2017 09:15Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu wamegundua miili 115 katika mji wa Bangassou, huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku chache baada ya genge la waasi wa Kikristo la Anti-Balaka kuvamia mji huo.
-
Waziri auawa 'kimakosa' mjini Mogadishu, Somalia
May 04, 2017 03:07Waziri wa Ujenzi na Ukarabati wa Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi kimakosa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Raia 45 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 02, 2017 12:09Magenge ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati yameua makumi ya raia nchini humo katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Ethiopia yakataa wito wa UN na EU wa kufanyika uchunguzi dhidi yake
Apr 18, 2017 21:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya mamia ya watu wakati wa maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali ya Addis Ababa nchini humo.
-
Wimbi la mauaji laendelea Sudan Kusini, 14 wauawa
Apr 16, 2017 02:44Kwa akali watu 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano mapya baina ya wanajeshi wa serikali na waasi katika mji wa Raga nchini Sudan Kusini.
-
Malaysia yawatia mbaroni watuhumiwa wa njama ya kumuua Mfalme Salman wa Saudia
Mar 07, 2017 12:07Serikali ya Malyasia imedai kuwa, ilizima njama ya jaribio la kutaka kumuua Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia aliyeko katika safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za mashariki mwa Asia.
-
Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump
Feb 01, 2017 00:50Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyetekeleza mauaji dhidi ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada siku chache zilizopita ni mtu mwenye misimamo ya mrengo wa kulia na mfuasi sugu wa Donald Trump, Rais wa Marekani.