-
Watu wengine 9 wauawa kwa kupigwa risasi Afrika Kusini
Jul 18, 2022 07:38Watu wasiopungua tisa wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika matukio mawili tofauti ya ufyatuaji risasi nchini Afrika Kusini.
-
UN yalaani wimbi la hujuma dhidi ya raia mashariki mwa Kongo DR
Jul 15, 2022 02:29Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amelaani wimbi la mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa Allied Democratic Forces (ADF) dhidi ya raia katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Genge la ADF laendeleza wimbi la umwagaji damu DRC
Jul 11, 2022 11:22Watoto wanne ni miongoni mwa watu watano waliouawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
ADF yashambulia kliniki na kuua watu 13 mashariki ya DRC
Jul 09, 2022 07:37Kwa akali watu 13 wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan
Jul 08, 2022 10:09Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Tunisia: Kuna njama ya kumuua Kais Saied
Jun 25, 2022 03:02Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa ina taarifa za kuaminika zinazothibitisha kuwepo kwa vitisho vinavyolenga uhai wa Rais wa Jamhuri, Kais Saied.
-
UN: Mwanahabari Shireen Abu Akleh aliuawa na wanajeshi wa Israel
Jun 24, 2022 13:26Umoja wa Mataifa umesema taarifa ulizokusanya zinaonesha kuwa, Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya Israel.
-
Zaidi ya 130 wauawa katika mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 21, 2022 07:48Makumi ya raia wameuawa nchini Mali katika wimbi jipya la magenge ya wanamgambo wanaobeba silaha katikati ya nchi hiyo ya eneo la Sahel.
-
NYT: Risasi iliyomuua Shireen Abu Akleh ilifyatuliwa na askari wa Kikosi cha Maalumu cha Israeli
Jun 21, 2022 02:39Uchunguzi mpya wa gazeti la Marekani la New York Times umethibitisha kuwa risasi iliyomuua mwandishi wa habari wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar, Shireen Abu Akleh, ilifyatuliwa na mwanajeshi wa kikosi maalumu cha Israel, katika eneo ambalo halikuwa na mwanamgambo hata mmoja wa Kipalestina.
-
Watu 1400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng nchini Afrika Kusini
Jun 15, 2022 11:56Polisi ya Afrika Kusini imesema watu zaidi ya 1,400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng ulioko kaskazini mashariki mwa nchi katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu 2022.