-
ADF yashambulia kliniki na kuua watu 13 mashariki ya DRC
Jul 09, 2022 03:07Kwa akali watu 13 wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan
Jul 08, 2022 05:39Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Tunisia: Kuna njama ya kumuua Kais Saied
Jun 24, 2022 22:32Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa ina taarifa za kuaminika zinazothibitisha kuwepo kwa vitisho vinavyolenga uhai wa Rais wa Jamhuri, Kais Saied.
-
UN: Mwanahabari Shireen Abu Akleh aliuawa na wanajeshi wa Israel
Jun 24, 2022 08:56Umoja wa Mataifa umesema taarifa ulizokusanya zinaonesha kuwa, Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya Israel.
-
Zaidi ya 130 wauawa katika mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 21, 2022 03:18Makumi ya raia wameuawa nchini Mali katika wimbi jipya la magenge ya wanamgambo wanaobeba silaha katikati ya nchi hiyo ya eneo la Sahel.
-
NYT: Risasi iliyomuua Shireen Abu Akleh ilifyatuliwa na askari wa Kikosi cha Maalumu cha Israeli
Jun 20, 2022 22:09Uchunguzi mpya wa gazeti la Marekani la New York Times umethibitisha kuwa risasi iliyomuua mwandishi wa habari wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar, Shireen Abu Akleh, ilifyatuliwa na mwanajeshi wa kikosi maalumu cha Israel, katika eneo ambalo halikuwa na mwanamgambo hata mmoja wa Kipalestina.
-
Watu 1400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng nchini Afrika Kusini
Jun 15, 2022 07:26Polisi ya Afrika Kusini imesema watu zaidi ya 1,400 wameuawa katika mkoa wa Gauteng ulioko kaskazini mashariki mwa nchi katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu 2022.
-
UN: Mauaji mapya ya kikabila nchini Sudan yameua watu 145
Jun 15, 2022 07:19Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliouawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila huko Sudan imeongezeka na kufikia 145.
-
Watu 20 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki ya DRC
Jun 07, 2022 03:38Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Tutalipiza kisasi cha Shahidi Sayyad Khodaei kwa utawala wa Kizayuni
May 30, 2022 22:43Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema: "Tutalipiza kisasi kwa utawala wa Kizayuni cha damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei."