-
Ripoti: Israel imeiba zaidi ya miili 2,000 kutoka kwenye makaburi ya Gaza
Aug 06, 2024 12:16Vikosi vya jeshi la Israel vimeiba zaidi ya miili 2,000 iliyofukuliwa kutoka kwenye makaburi mbalimbali katika ukanda wa Gaza, huku ripoti kutoka Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Gaza zikisema baadhi ya maiti zimerudishwa baada ya majeshi ya Israel "kuvunjia heshima miili" ya marehemu hao.
-
Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu
Jul 30, 2024 02:29"Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel: Israel inapaswa kukomesha mauaji ya kimbari ya watu wa Palestina
Jun 29, 2024 02:25Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel wa Uingereza amesema kuwa, amani kwa Wapalestina inawezekana tu iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utakomesha siasa za ubaguzi wa rangi na mauaji ya kimbari.
-
Afisa wa Marekani aliyejiuzulu: Wanajeshi wa Marekani wanashiriki katika vita vya Israel huko Gaza
Jun 27, 2024 02:59Afisa aliyejiuzulu kutoka Shirika la Ujasusi la Ulinzi la Marekani, Meja Harrison Mann, amesema kuwa vita vilivyoanzishwa na Israel katika Ukanda wa Gaza havingeweza kuendelea hadi leo bila msaada usio na kikomo wa Marekani, akisisitiza kwamba wanajeshi wa Marekani wanapigana katika kuilinda Israel.
-
Afisa Myahudi katika serikali ya Biden ajiuzulu kulalamikia mauaji ya kimbari ya Ghaza
May 16, 2024 06:23Lily Greenberg Call, msaidizi maalumu wa mkuu wa wafanyakazi katika Idara ya Mambo ya Ndani ya serikali ya Marekani amekuwa mteuliwa wa kwanza wa kisiasa wa Kiyahudi kujiuzulu hadharani akipinga uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi
May 16, 2024 04:25Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Magharibi iliiomba Iran 'isiipige sana Israel', ipunguze ukali wa operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 09, 2024 03:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Magharibi ziliiomba Jamhuri ya Kiislamu ijizuie na ipunguze ukali wa operesheni yake ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kabla ya kushambulia vituo vya utawala huo mwezi uliopita kujibu mapigo kwa shambulio lake la kigaidi ulilofanya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
-
Mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza na uwezekano wa Qatar kuangalia upya sera zake za kigeni za usuluhishi
Apr 21, 2024 02:17Muhammad bin Abdulrahman Al Thani Waziri Mkuu wa Qatar amesema kuwa nchi hiyo inatathmini upya nafasi yake kama msuluhishi kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imetumia unafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari huko Gaza
Apr 09, 2024 12:11Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani imetumia sifa na nafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Sababu za utawala wa Kizayuni kulazimisha vita katika upande wa kaskazini
Apr 02, 2024 02:19Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, amesema kwamba utawala huo haramu utapanua operesheni zake za kijeshi katika eneo la kaskazini la ardhi zinazokaliwa kwa mabvu na kushambulia kila sehemu ya Beirut na Damascus ambapo Hizbullah ya Lebanon inaendeshea shughuli zake.