-
Guterres: Umoja wa Mataifa umeazimia kulinda mazingira
Nov 06, 2017 09:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu azma ya umoja huo ya kulinda mazingira duniani.
-
Mwaka 2017 watarajiwa kuvunja rekodi ya kuwa na joto kali
Nov 06, 2017 04:30Mwaka huu 2017 unatarajiwa kawa miongoni mwa miaka mitatu iliyovunja rekodi ya kuwa na jioto kali katika historia ya sayari ya dunia.
-
Mataa yazimwa kwa saa moja duniani kulinda mazingira
Mar 26, 2017 09:22Miji ya nchi 170 duniani, ikiwemo Iran imeshiriki kwenye zoezi la kuzima taa kwa muda wa saa moja jioni ya tarehe 25 Machi.
-
UNEA yaidhinisha maazimio 25 ya kuimarisha maendeleo endelevu
May 28, 2016 11:31Mkutano wa pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira UNEA2 umepasisha maazimio 25 yanayolenga kuchochea zaidi maendeleo endelevu yasiyochafua mazingira.
-
UN: Kutunza Mazingira ni msingi wa amani, maendeleo
May 26, 2016 23:01Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson , amesema kutunza mazingira ni msingi wa amani, maendeleo na ubinadamu kwa wote.