-
Bin Salman akutana na Wakristo wanaounga mkono utawala haramu wa Kizayuni
Nov 03, 2018 08:00Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa tume ya Kimarekani inayounga mkono utawala haramu wa Kizayuni, ambao walikuwa wamefanya safari nchini Saudia.
-
Zarif: Iran haitapoteza muda kufanya mazungumzo na US
Oct 02, 2018 08:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran katu haitafanya mazungumzo na Marekani madhali Washington itaendelea kukataa kukumbatia uhalisia wa mambo na muamana.
-
Iran yakanusha madai ya kuomba kufanya mazungumzo na Trump
Sep 22, 2018 03:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja kama kichekesho madai kwamba taifa hili limeomba kufanya mkutano na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Rais wa Equatorial Guinea aitisha 'mdahalo wa kitaifa' baada ya majaribio ya mapunduzi
Jun 12, 2018 14:21Rais Teodoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea ameitisha mdahalo wa kitaifa, baada ya kufeli majaribio kadhaa ya mapinduzi dhidi ya serikali yake.
-
Balozi wa Marekani Russia: Kuna njia ndefu kabla ya kukutana Trump na Rais Putin
Jun 04, 2018 06:31Balozi wa Marekani nchini Russia amesema kuwa kuna njia ndefu sana kabla ya Marais Vladmir Putin wa Russia na Donald Trump wa Marekani kuweza kukutana.
-
Sisitizo la Putin na Macron la kulindwa mapatano ya JCPOA
May 25, 2018 13:34Akizungumza mara tu baada ya kuonana na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu wa kulindwa mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi kubwa za dunia, mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuusifu msimamo wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya kuhusiana na kudumishwa utekelezaji wa mapatano hayo.
-
Trump athibitisha mkuu wa CIA amekutana kwa siri na kiongozi wa Korea Kaskazini
Apr 18, 2018 16:12Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la nchi hiyo CIA amekutana na kufanya mazungumzo ya siri na kiongozi wa Korea Kaskazini na kueleza kwamba hilo ni jambo zuri na hakuna tatizo lolote kufanya hivyo.
-
Upinzani Sudan Kusini wataka mazungumzo ya amani yafanyike Ethiopia
Mar 20, 2018 15:03Mrengo mkuu wa upinzani nchini Sudan Kusini umepinga mashinikizo ya serikali ya Juba ya kuitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD ibadilishe sehemu ya kufanyika mazungumzo ya amani kutoka Addis Ababa, Ethiopia.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika
Mar 09, 2018 13:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa ambako amedai kuwa nchi yake inaunga mkono mapambano ya umoja huo dhidi ya ugaidi.
-
Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq
Jan 21, 2018 03:09Waziri Mkuu wa Iraq, Haydar al Abadi na Nechirvan Barzani, rais wa utawala wa ndani wa eneo la Kurdistan la Iraq wamefanya mazungumzo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni na mgogoro uliozuka baina ya Baghdad na Erbil baada ya Kurdistan kuitisha kura ya maoni ya kujitenga na Iraq.