-
Saudia yakubali kufanya mazungumzo na Qatar na kisha kughairi baada ya madakika
Sep 09, 2017 07:53Saudi Arabia imesimamisha mpango wa kufanya mazungumzo na Qatar kuhusu jinsi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kati ya Doha na nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na utawala wa Riyadh, dakika chache baada ya kukubali kuja kwenye meza ya mazungumzo.
-
Ayatullah Shahroudi: Ushindi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS) ni neema ya Mwenyezi Mungu
Sep 04, 2017 04:22Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi katika vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, kuundwa kikosi cha kujitolea cha wananchi cha Hashdu al-Sha'abi na fatuwa za jihadi za Maulama wa Kishia ilikuwa neema kubwa.
-
Matokeo ya mazungumzo ya Trump na Putin mjini Hamburg Ujerumaini
Jul 09, 2017 08:00Baada ya kupita miezi mingi ya malalamiko ya Wamarekani kwa Russia wanaodai kuwa Moscow inaingilia masuala ya ndani ya nchi yao, hatimaye marais wawili wa nchi hizo mbili wamekutana pambizoni mwa kikao cha viongozi wa G20 mjini Hamburg, Ujerumani. Hayo yalikuwa ni mazungumzo ya kwanza ya marais hao wawili tangu Donald Trump atangazwe kuwa rais wa Marekani.
-
Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara
Jun 18, 2017 13:36Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.
-
Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia
Apr 09, 2017 16:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
-
Rais wa Gabon azindua mazungumzo ya amani, Ping asusia
Mar 29, 2017 02:56Rais Ali Bongo wa Gabon amezindua mazungumzo yanayoyaleta pamoja makundi ya kisiasa nchini humo kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa, kiuchumi na kijami uliotokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana.
-
Marais wa Iran na Russia wasisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi mbili
Mar 28, 2017 16:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na mwenzake wa Russia kuwa lengo la Iran na Russia ni kuimarisha amani na utulivu katika eneo.
-
Rais Rouhani aonana na maspika wa nchi kadhaa akiwemo wa Uganda
Feb 22, 2017 16:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na maspika wa nchi kadhaa pambizoni mwa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina hapa mjini Tehran.
-
Serikali ya Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani, Tanzania
Feb 16, 2017 08:00Serikali ya Burundi imesema haitoshiriki katika mazungumzo ya kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo yanayotazamiwa kuanza hii leo nchini Tanzania.
-
Rais Bashar al-Assad: Iran ni muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria
Jan 26, 2017 13:35Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Iran imekuwa muungaji mkono mkuu wa taifa la Syria katika kipindi chote cha mgogoro wa nchi hiyo uliodumu kwa miaka sita sasa.