-
Vizuizi vinavyokwamisha kuanza mazungumzo ya amani ya Afghanistan
Sep 05, 2020 02:31Safari ya ujumbe unaoiwakilisha serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani na kundi la Taliban, ambao ulikuwa uondoke Kabul kuelekea mjini Doha, Qatar imeakhirishwa.
-
Abdullah Abdullah: Duru ya kwanza ya mazungumzo ya amani baina ya Waafghani itafanyika Qatar
Aug 09, 2020 03:17Mkuu wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, duru ya kwanza ya mazungumzo ya kutafuta suluhu na kurejesha amani kati ya serikali ya nchi hyo na kundi la Taliban itafanyika nchini Qatar.
-
Yemen yajibu hatua ya muungano vamizi wa Saudia ya kupuuza mpango wa amani
Oct 03, 2019 14:01Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia utakabiliwa na vipigo visivyo na ukomo iwapo mpango wa amani wa Yemen utafeli.
-
Pande hasimu za Sudan zakubaliana kugawana madaraka
Jul 05, 2019 02:55Wawakilishi wa Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko wameafikiana juu ya suala la kugawana madaraka katika kipindi cha mpito kuelekea katika uchaguzi.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Amani: Afghanistan katu haitarudi kwenye enzi za utawala wa Taliban
Mar 03, 2019 02:27Mkuu wa Baraza Kuu la Amani la Afghanistan ametangaza kuwa, nchi hiyo katu haitarudi tena nyuma kwenye enzi za utawala wa Taliban.
-
Vibaraka wa Saudia katika mazungumzo ya Yemen washindwa kuchukua maamuzi
Dec 09, 2018 02:54Afisa wa Serikali ya Uokozi wa Kitaifa Yemen katika mazungumzo ya amani ya Yemen yanaoendelea Sweden amesema kuwa, wajumbe wanaoungwa mkono na Saudia Arabia katika mazungumzo hayo hawana uwezo wa kuchukua maamuzi.
-
Riek Machar akubali kusaini makubaliano ya mwisho ya amani ya Sudan Kusini
Aug 29, 2018 07:47Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amekubali kutia saini makubaliano ya mwisho ya mkataba wa amani na serikali ya Juba ambayo yatamaliza mgogoro wa muda mrefu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alkhamisi ya kesho
Jul 18, 2018 13:51Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imetangaza kuwa, pande hasimu nchini Sudan Kusini zimefikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo yatatiwa saini Alkhamisi ya kesho.
-
Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani
Nov 17, 2017 02:43Abdullah Abdullah, Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Afghanistan, kwa mara nyengine tena ametoa wito wa kulitaka kundi la Taliban lijiunge na mchakato wa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.
-
"Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan ni hatari kwa umoja wa Iraq"
Sep 15, 2017 14:12Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq ametahadharisha juu ya taathira hasi ya kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan, akisisitiza kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuhatarisha usalama, amani na umoja wa nchi hiyo ya Kiarabu.