-
Kuanza tena mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Mali na waasi
Jun 26, 2017 03:33Serikali ya Mali na makundi ya waasi nchini humo wamenza tena ya mazungumzo ya amani kutokana na kuongezeka kwa machafuko na ukosefu wa amani katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Syria na taathira ya hatua za kijeshi za Marekani
May 04, 2017 15:06Duru ya nne ya mazungumzo ya mjini Astana, Kazakhstan ilianza Jumatano ya jana. Duru hiyo ya mazungumzo ya Syria imefanyika huku yakishuhudiwa mabadiliko madogo kwa upande wa washiriki.
-
Mkutano wa kusaka amani Syria unafanyika Tehran
Apr 18, 2017 03:52Mkutano wa wataalamu kuhusu mazungumzo ya amani Syria unafanyika leo mjini Tehran, Iran katika fremu ya mchakato wa amani wa Astana, Kazakhstan.
-
Juhudi za Rais wa Sudan Kusini za kurejesha amani nchini
Feb 22, 2017 07:54Rais wa Sudan Kusini ameyatolea mwito makundi ya kisiasa nchini humo kujiunga na mazungumzo ya kitaifa.
-
Serikali ya Syria: Tuko tayari kwa ajili ya mazungumzo na wapinzani
Jul 25, 2016 04:16Serikali ya Syria imetangaza kuwa, iko tayari kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo na makundi ya wanamgambo kwa shabaha ya kurejesha amani nchini humo na kuhitimisha vita vya miaka 5 katika nchi hiyo.
-
Kutokuwa na natija duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi
Jul 14, 2016 07:20Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi kwa usimamizi wa Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa imeshindwa kuwa na matunda kutokana na makundi ya upinzani kulalamikia kushiriki katika mazungumzo hayo viongozi kadhaa wa serikali ya Bujumbura.
-
Waziri wa zamani wa Burundi katika EAC auawa Bujumbura
Jul 13, 2016 15:23Waziri wa zamani wa Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Hafsa Mossi ameuawa kwa kufyatuliwa risasi nje ya nyumba yake mjini Bujumbura.
-
Kabila ataka mazungumzo ya kitaifa yaanze mara moja
Jun 30, 2016 07:56Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito wa kuanza mazungumzo ya kitaifa mara moja ili kuutafutua ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Upinzani wa Israel kwa mpango wa amani wa Waarabu
Jun 14, 2016 08:04Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa anapinga mpango wa amani uliopendekezwa na nchi za Kiarabu.
-
Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani
Jun 11, 2016 07:35Licha ya juhudi za kimataifa na za kieneo za kutaka kutatuliwa mgogoro wa Burundi, lakini serikali ya nchi hiyo imesema haiko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani.