-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 30, 2016 02:30Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 29, 2016 23:51Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Upinzani kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi
May 24, 2016 23:37Muungano mkuu wa upinzani nchini Burundi unaoitwa CNARED umesema uko tayari kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani iwapo utaalikwa rasmi.
-
Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa
May 01, 2016 23:29Mazungumzo ya amani ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi ambayo yalitazamiwa kuanza leo Jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania yameahirishwa.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini
Apr 29, 2016 23:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kuundwa serikali ya عmoja wa نitaifa nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuliapisha baraza jipya la mawaziri na kuzitaka pande husika zikamilishe hatua zote za kuunda taasisi za serikali hiyo ya mpito.
-
Umoja wa Mataifa yazitaka pande zote nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani
Apr 20, 2016 09:57Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote hasimu nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani ya Syria ya Geneva Uswisi.
-
Mazungumzo ya amani ya Yemen yaakhirishwa
Apr 18, 2016 10:05Pande zinazopigana nchini Yemen zimetangaza kuwa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo yameakhirishwa.
-
Kugubikwa na wingu zito la hitilafu mazungumzo ya Syria Geneva
Mar 22, 2016 02:24Huku wiki moja ikiwa imepita katika muda uliowekwa wa siku 10 kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya Syria yanayofanyika mjini Geneva, hadi sasa hakuna chochote kilichoibuka kutoka ndani ya mazungumzo hayo, bali kwa mara nyengine tena wingu la hitilafu limetanda kwenye anga ya mazungumzo baina ya pande mbili husika.
-
Mahmoud Abbas aunga mkono mpango wa 'amani' wa Ufaransa
Mar 18, 2016 13:08Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza tena juu ya uungaji mkono wake kwa mpango uliopendekezwa na Ufaransa wa kuitishwa mkutano wa kimataifa kwa ajili ya mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati.
-
Syria na kukaribia kufanyika mazungumzo ya Geneva
Mar 13, 2016 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amekosoa matamshi yaliyotolewa na Staffan de Mistura, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria na kusisitiza kuwa serikali ya Damascus inaendelea kuheshimu makubaliano ya usitishaji vita.