-
Iran, Russia na China Zaungana katika Kupinga Snapback
Dec 24, 2025 10:32Wawakilishi wa Iran, Russia na China katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza, katika mkutano wa Baraza la Usalama la umoja huo, kwamba madai ya Marekani pamoja na Uingereza na Ufaransa, hayakuwa halali kuhusu kurejeshwa mara moja na bila masharti vikwazo vya UN dhidi ya Jamhuri ya Kislamu maarufu kama snapback.
-
Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Apr 23, 2025 02:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili la nyuklia la Iran.
-
Araghchi: IAEA inaweza kutatua kwa amani faili la nyuklia la Iran
Apr 17, 2025 12:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unaweza kuwa na nafasi na jukumu muhimu katika utatuzi wa amani wa suala la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani
Mar 14, 2025 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.
-
Borrell: Misimamo ya EU kuhusu vita vya Ghaza na Ukraine imeonekana kuwa ya undumilakuwili
Nov 30, 2024 06:05Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya anayemaliza muda wake amekiri kuwa umoja huo umekuwa na "undumilakuwili" katika misimamo yake isiyo namna moja kuhusiana na vita vya Ukraine na Ghaza na kubainisha kwamba hisia hizo zimekuwepo sana katika nchi za Kusini mwa Ulimwengu.
-
Eslami: Mienendo ya kiuhasama ya Israel isiathiri uhusiano wa Iran na IAEA
May 08, 2024 02:23Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema hatua na mienendo ya kiuadui ya utawala wa Kizayuni wa Israel haipasi kuathiri uhusiano na ushirikiano baina ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran yaiasa IAEA isitegemee taarifa za urongo za Israel
Jun 10, 2023 12:24Ofisi ya Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuwa na msimamo wa kitaalamu kuhusu mradi wa Iran wa nishati ya nyuklia, na kujiepusha na taarifa za urongo za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Eslami: Mazungumzo kati ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki yanaendelea
Apr 19, 2023 12:41Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, mazungumzo kati ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) yanaendelea.
-
Amir Abdollahian: Mlango wa mazungumzo ya nyuklia hautabakia wazi milele
Mar 28, 2023 07:13Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema rasimu ya mpango wa kuainisha kiwango cha mazungumzo ya nyuklia inajadiliwa katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) na kusisitiza kwamba mlango wa mazungumzo hayo hautabakia wazi milele.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Oman
Dec 29, 2022 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Iran imeacha wazi dirisha ili kufikia mapatano lakini dirisha hilo halitasalia wazi siku zote. Amesema Iran inakaribisha na kuunga mkono ubinifu wa Mfalme wa Oman ili kufanyika ufatiliaji kwa lengo la kufikia mapatano mazuri, imara na endelevu.