-
Amnesty International: Netanyahu anapaswa kukamatwa na kupelekwa The Hague
Apr 02, 2025 03:06Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, mwaliko wa Hungary kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuzuru nchi hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa, na Budapest inapaswa kumkamata na kumkabidhi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu
Jan 14, 2025 10:28Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu
Jan 11, 2025 06:42Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
Mienendo ya kindumakuwili ya Ulaya kuhusu waranti ya kukamatwa watawala wa Israel
Nov 29, 2024 15:27Hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutoa waranti ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel imeakisiwa pakubwa kimataifa kwa kutilia maanani umuhimu wake na pia kutokana na kutochukuliwa hatua kama hiyo huko nyuma dhidi ya viongozi wa utawala huo ghasibu.
-
Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa
Nov 22, 2024 11:08Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na aliyekuwa waziri wake wa vita Yoav Gallant, wakituhumiwa kutenda jinai za vita.
-
Hata Uholanzi, Canada na Uswisi zasema zitamkamata Netanyahu akithubutu kutembelea nchi hizo
Nov 22, 2024 05:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi amekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kutoa hati ya kukamatwa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kwamba iwapo ataingia Uholanzi atatiwa nguvuni.
-
Ufaransa yapiga marufuku bendera ya Palestina katika mechi ya soka kati ya nchi hiyo na Israel
Nov 12, 2024 07:09Mamlaka za Ufaransa zimetumia kisingizio cha fujo zilizotokea wiki iliyopita nchini Uholanzi, kupiga marufuku watazamaji kubeba bendera ya Palestina kwenye mechi ya soka baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel itakayochezwa siku ya Alkhamisi katika kitongoji cha Paris.
-
Utawala wa Kizayuni wamkamata Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa, kisa kutoa pole mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh
Aug 03, 2024 06:52Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Shahidi Ismail Haniyeh.
-
Mgombea wa uchaguzi wa rais Marekani atiwa nguvuni katika maandamano ya watetezi wa Palestina
Apr 29, 2024 02:36Polisi nchini Marekani imemtia nguvuni mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu nchini humo ambaye alikuwa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Washington.
-
Serikali ya Iraq yasambaratisha genge la kigaidi mjini Baghdad
Sep 18, 2023 10:45Shirika la Usalama wa Taifa la Iraq limetangaza habari ya kusambaratishwa na kutiwa mbaroni kanali ya kigaidi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.