Aug 03, 2018 04:20
Mtafiti wa masuala ya kisiasa na mpinzani maarufu wa Saudi Arabia, Fouad Ibrahim ameelezea wimbi jipya la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kiraia ambao ni wanawake wa nchi hiyo kwamba, hatua za ukandamizaji za Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme zimetokana na yeye kuhisi hatari dhidi ya utawala wake.