-
Utawala wa Saudia wawasimamisha kazi maimamu wawili wa Makkah na kumtia mbaroni mwalimu wa kike
Sep 15, 2018 14:10Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia na katika fremu ya utekelezaji wa siasa za Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme za kuwatia mbaroni wapinzani wake wa kisiasa, umewasimamisha kazi maimamu wa jamaa wa msikiti wa Makkah ambao pia ni wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Umm al-Qura mjini hapo.
-
Askari waliowapiga na kuwatesa Wabunge wa upinzani Uganda watiwa mbaroni
Aug 29, 2018 07:43Askari wa Uganda wanaotuhumiwa kuwapiga na kuwatesa Wabunge wa upinzani akiwemo Mbunge Bobi Wine aliyejizolea umashuhuri wametiwa mbaroni.
-
Saudia yamkamata Imamu na Khatibu wa Masjidul Haram
Aug 20, 2018 14:05Duru za habari zinasema wakuu wa Saudia wamemkamata Sheikh Saleh Aal Talib, Imamu na Khatibu wa Msikiti Mkuu wa Makka (Masjidul Haram) kutokana na hotuba aliyotoa kuhusu munkar au maovu na madhalimu.
-
Kamata kamata yaendelea nchini Saudi Arabia
Aug 20, 2018 03:55Birjas Hamoud al Birjas, Mshauri wa zamani wa Kampuni ya Mafuta na Gesi Asilia ya Saudi Arabia (ARAMCO) ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya mafuta nchini humo pia ametiwa mbaroni katika kamatakamata inayoendelea nchini Saudia.
-
Tendai Biti atiwa mbaroni nchini Zimbabwe
Aug 08, 2018 14:41Kiongozi mmoja maarufu wa upinzani ametiwa mbaroni nchini Zimbabwe wakati alipokuwa mbioni kutoroka nje ya nchi.
-
Fouad Ibrahim: Kamatakamata ya Mohammad Bin Salman inatokana na yeye kuhisi hatari
Aug 03, 2018 04:20Mtafiti wa masuala ya kisiasa na mpinzani maarufu wa Saudi Arabia, Fouad Ibrahim ameelezea wimbi jipya la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kiraia ambao ni wanawake wa nchi hiyo kwamba, hatua za ukandamizaji za Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme zimetokana na yeye kuhisi hatari dhidi ya utawala wake.
-
Wanaharakati wa meli ya kuvunja mzingiro wa Ghaza waendelea kushikiliwa na Israel
Jul 31, 2018 08:09Kamati ya Kimataifa ya kuvunja mzingiro wa Ghaza imetangaza kuwa wanaharakati 20 wa kimataifa waliopo katika meli ya "Kurejea" ambayo Ijumaa iliyopita ilielekea Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuondoa mzingiro wa baharini katika eneo hilo wanaendelea kushikiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mufti wa Saudia azuiliwa kutoka nje ya nchi kwa kuukosoa utawala wa Aal Saud
Jul 23, 2018 13:49Viongozi wa Saudi Arabia wamemzuia Sheikh Abd Al-Aziz Fawzan, mmoja wa mamufti wakubwa wa nchi hiyo, kutoka nje ya nchi na kadhalika kuendeleza shughuli zake katika mitandao ya kijamii kutokana na hatua yake ya kuukosoa utawala wa Aal-Saud juu ya vita vyake vya kichokozi nchini Yemen.
-
Magaidi 22 wa genge la Boko Haram wanaswa nchini Nigeria
Jul 19, 2018 07:55Polisi ya Nigeria wametangaza kwamba maafisa usalama wa nchi hiyo wamewatia mbaroni wanachama 22 na viongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Saudi Arabia yamtia nguvuni mwanazuoni wa nchi hiyo kwa kukosoa serikali
Jul 12, 2018 14:59Utawala wa Saudi Arabia umemtia nguvuni mwanazuoni wa kidini wa nchi hiyo baada ya kukosoa siasa za utawala wa kifalme wa nchi hiyo na Marekani.