-
Iran yawakamata magaidi 32 wa ISIS wakiwa wanapanga njama
Jul 08, 2018 12:47Mwendesha Mashtaka wa Tehran amesema magaidi wasiopungua 32 wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh wamekamatwa nchini Iran hivi karibuni.
-
Tsunami ya kamatakamata nchini Saudi Arabia
Jul 07, 2018 02:42Vita vya madaraka katika ukoo wa Aal Sad nchini Saudi Arabia vinachukua mkondo mpya na mpana zaidi kila siku ambapo wanawafalme na maafisa wengi wa ngazi za juu nchini humo wamekuwa wakitiwa mbaroni kwa amri ya Muhamm bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Jeshi la Iraq lawatia mbaroni wanachama wa kundi jipya hatari la ukufurishaji mkoani al-Anbar
Jul 06, 2018 08:06Jeshi la Iraq limefanikiwa kuwatia mbaroni wanachama wa kundi moja hatari la ukufurishaji na kigaidi na ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa muda mrefu mkoani al-Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Waziri mkuu wa zamani Malaysia atiwa mbaroni kwa kuhusika na wizi wa mali ya umma
Jul 03, 2018 15:39Vyombo vya usalama vya Malaysia vimemtia nguvuni waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Najib Razak kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya upotevu wa mabilioni ya dola kutoka kwenye mfumo wa taifa aliouasisi yeye mwenyewe muongo mmoja uliopita.
-
Afisa wa serikali na Wafaransa 4 watiwa nguvuni kwa ufisadi Burundi
Jun 24, 2018 12:50Serikali ya Burundi imemtia nguvuni afisa mmoja wa ngazi ya juu wa nchi hiyo na raia wanne wa Ufaransa kwa tuhuma za kufanya utapeli.
-
Dereva wa Bin Laden atiwa mbaroni nchini Libya
Jun 18, 2018 07:34Dereva wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa al Qaida, Usama bin Laden ametiwa mbaroni katika mji wa Derna wa mashariki mwa Libya.
-
Saudia yaanza duru mpya ya kuwakamata wale wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na Israel
May 20, 2018 02:22Vyombo vya habari, wanasheria na wanaharakati mbalimbali wameelezea kupitia mitandao ya kijamii juu ya kuanza duru mpya ya kamatakamata ya utawala wa kifalme wa Aal-Saud dhidi ya wapinzani wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na utawala katili wa Kizayuni.
-
Kulaaniwa wimbi jipya la kamatakamata nchini Bahrain
Apr 11, 2018 04:33Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain kimetoa taarifa maalumu inayoeleza juu ya kutiwa mbaroni na vikosi vya usalama vya utawala wa Aa Khalifa wapinzani 21 na kulaani vikali hatua hiyo.
-
Zaidi ya watu 1000 watiwa mbaroni nchini Ethiopia
Apr 01, 2018 04:12Watu elfu moja na 107 wametiwa mbaroni nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuvunja sheria za hali ya hatari nchini humo.
-
Utawala wa Aal Saud wazipiga mnada mali za bilionea wa nchi hiyo
Mar 18, 2018 16:36Maafisa wa utawala wa Aal Saud leo wamezipiga mnada mali za bilionea wa nchi hiyo Maan al-Sanea ambaye alitiwa nguvuni mwezi Oktoba mwaka uliopita wa 2017 pamoja na makumi ya wanawafalme na shakhsia wengine kadhaa mashuhuri wa nchi hiyo.