Jan 09, 2018 08:18
Gazeti la Al-Araby Al-Jadeed limeandika kwamba, kwa akali wanawafalme na viongozi 60 wa ngazi ya juu wa zamani serikali nchini Saudia ambao walitiwa mbaroni na Mwanamfalme Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud katika hoteli ya kifahari ya Ritz-Carlton ya mjini Riyadh, wamehamishiwa jela ya
al-Ha'ir nchini humo.