-
'Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa kuheshimu umoja wa kitaifa'
Mar 10, 2016 02:45Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa,mgogoro wa Syria unapaswa kutatuliwa kwa kuheshimu ardhi yote, mamlaka na umoja wa kitaifa wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wasyria waandamana kuunga mkono harakati ya Hizbullah
Mar 07, 2016 07:08Raia wa maeneo kadhaa ya Syria wamefanya maandamano wakitangaza uungaji mkono wao kwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
-
Hali nchini Syria baada ya kuanza utekelezwaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano
Mar 01, 2016 08:11Tangu kuanza utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita kati ya serikali na wapinzani huko Syria Ijumaa iliyopita, mambo mengi yamejitokeza ambayo yanatujengea taswira ya jinsi hali halisi ilivyo katika nchi hiyo na eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Kerry: US, Russia zitalenga Daesh na al-Nusra nchini Syria
Mar 01, 2016 07:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema kuwa Washington na Moscow zimekubaliana kutojadili madai ya kukiuka makubaliano ya usitishaji vita nchini Syria ambayo yalianza kutekelezwa hivi karibuni na kuongeza kuwa vikosi vya nchi mbili hizo vitalenga tu kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na al-Nusra katika mashambulizi yao.
-
Waziri wa Saudia atembelea Israel kwa siri kupanga njama dhidi ya Syria
Feb 29, 2016 07:31Saudi Arabia inashirikiana kikamilifu na utawala haramu wa Israel katika njama ya kuomuondoa marakani Rais Bashar al-Asad wa Syria pamoja na kuwepo mapatano ya usitishwaji vita nchini humo.
-
Milipuko ya mabomu yaua zaidi ya 20 Syria
Feb 21, 2016 08:20Habari za hivi punde zinasema kuwa watu wasiopungua 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia milipuko miwili ya mabomu katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria.
-
Misri: Mgogoro wa Syria utatuliwe kupitia mazungumzo
Feb 18, 2016 08:00Rais wa Misri amesema njia bora ya kutatua mgogoro wa Syria ni kupitia mazungumzo na wala sio nguvu za kijeshi.
-
Russia yapinga pendekezo la marufuku ya kupaa ndege Syria
Feb 17, 2016 15:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema, inapinga pendekezo la kuTENGWA eneo lisiloruhusiwa kupaa ndege ndani ya Syria na kutaka waratibu wa pendekezo hilo kuishirikisha serikali ya Damascus kabla ya kuchukuliwa uamuzi wowote.
-
Washauri wa kijeshi wa Iran wako Syria kwa ombi la nchi hiyo
Feb 17, 2016 07:20Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif anasema washauri wa kijeshi wa Iran wako Syria kufuatia ombi la serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Nasrallah: Israel, Saudia zimefeli katika malengo yao Syria
Feb 17, 2016 07:00Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama za Saudia, Israel na Uturuki zimefeli na kugonga mwamba Syria.