Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Madaesh zaidi ya 260 wakamatwa wakiwa wamejificha miongoni mwa wakimbizi wa Syria huko Deir-Zor

    Madaesh zaidi ya 260 wakamatwa wakiwa wamejificha miongoni mwa wakimbizi wa Syria huko Deir-Zor

    Dec 26, 2018 14:37

    Vikosi vinavyojiita vya kidemokrasia nchini Syria vimewatia mbaroni magaidi wa kundi la Daesh wapatao 262 ambao walikuwa wamejificha miongoni mwa wakimbizi wa Syria waliorejea kutoka maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo kaskazini mwa mkoa wa Deir-Zor nchini humo.

  • Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Dec 24, 2018 02:50

    Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.

  • Harakati ya Hizbullah: Marekani inaondoka Syria kutokana na kushindwa

    Harakati ya Hizbullah: Marekani inaondoka Syria kutokana na kushindwa

    Dec 22, 2018 02:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaondoka nchini Syria kutokana na kushindwa siasa zake katika Mashariki ya Kati na kutoweza kuuhami na kuulinda utawala haramu wa Israel.

  • Kufikia tamati majukumu ya Staffan de Mistura katika faili la Syria

    Kufikia tamati majukumu ya Staffan de Mistura katika faili la Syria

    Dec 22, 2018 02:55

    Staffan de Mistura, Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria ametoa ripoti yake ya mwisho katika Baraza la Usalama na kutangaza rasmi kufikia tamati majukumu yake nchini Syria.

  • Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Dec 19, 2018 02:48

    Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya nchi hiyo vilivyoanza mwaka 2011 vimeitumbukiza nchi hiyo ya Kiarabu katika mgogoro mkubwa. Suala hilo linatumiwa vibaya pia na madola ya kibeberu ya Magharibi yakiongozwa na Marekani kwa kushirikiana na vibaraka wake wa nchi za Kiarabu kama vile Saudi Arabia kumalizia hasira zao kwa taifa hilo.

  • Jeshi la anga la Iraq lafanya oparesheni dhidi ya Daesh katika ardhi ya Syria

    Jeshi la anga la Iraq lafanya oparesheni dhidi ya Daesh katika ardhi ya Syria

    Dec 16, 2018 15:18

    Wanamgambo kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika shambulio la anga la jeshi la Iraq lililolenga mkusanyiko wa viongozi wa Daesh katika eneo la al Susah mkoani Deir Zor nchini Syria.

  • Syria yalalamikia wizi unaofanywa na Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake

    Syria yalalamikia wizi unaofanywa na Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake

    Dec 12, 2018 01:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa ikilalamikia wizi unaofanywa na wavamizi hususan Marekani, Ufaransa na Uturuki wa turathi zake za kale za kiutamaduni.

  • Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Dec 04, 2018 14:43

    Kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra la Syria limepokea ndege zisizo na rubani zipatazo 100 litakazozitumia kufanya mashambulizi ya kemikali za sumu katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Kamanda wa utawala wa Kizayuni akiri Waziri wa Vita wa zamani kukutana na magaidi wa Syria

    Kamanda wa utawala wa Kizayuni akiri Waziri wa Vita wa zamani kukutana na magaidi wa Syria

    Nov 24, 2018 14:22

    Kamanda mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni, amefichua kwamba Moshe Ya'alon, Waziri wa zamani wa Vita wa Utawala huo alikutana na magaidi wanaopinga serikali ya Syria.

  • Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria

    Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria

    Nov 22, 2018 14:45

    Shirika la habari la Sputnik limenukuu duru moja ya kuaminika ikisema kuwa wataalamu wa kemikali wa Ufaransa wanawafundisha magaidi mbinu za kutumia silaha za kemikali nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS