-
Amnesty: Jamii ya Kimataifa imefeli kuutatua mgogoro wa wakimbizi
Aug 04, 2016 10:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewakosoa viongozi wa dunia kwa kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa wakimbizi duniani.
-
Frontex: Wakimbizi wanazidi kumiminika Ulaya kupitia Misri
Jun 28, 2016 23:57Shirika la Frontex limeripoti kuwa, lina wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la wakimbizi kuingia barani Ulaya kwa kupitia Misri na kwamba wakimbizi hao wanakabiliwa na hatari ya kifo baharini.
-
Ripoti: Watu milioni 40 ni wakimbizi katika nchi zao
May 11, 2016 02:39Watu zaidi ya milioni 40 katika nchi mbali mbali duniani wamelazimika kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi kutokana na vita na migogoro.
-
IOM: Zaidi ya 80 hawajapatikana baada ya boti ya wakimbizi kuzama pwani ya Libya
May 01, 2016 09:48Shirika la Kimataifa la Wahajiri IOM limesema hatima ya wahajiri zaidi ya 80 haijajulikana hadi sasa baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika pwani ya Libya kwenye bahari ya Mediterranean Ijumaa iliyopita.
-
Polisi wachoma moto mahema ya wakimbizi nchini Ufaransa
Mar 01, 2016 07:05Jeshi la polisi nchni Ufaransa limeharibu na kuchoma moto mahema ya wakimbizi nchini humo
-
IOM: Wakimbizi 410 wamefariki dunia wakiingia Ulaya 2016
Feb 23, 2016 22:15Wakimbizi na wahajiri wapatao 410 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.