Polisi wachoma moto mahema ya wakimbizi nchini Ufaransa
Mar 01, 2016 10:35 UTC
Jeshi la polisi nchni Ufaransa limeharibu na kuchoma moto mahema ya wakimbizi nchini humo
Wakimbizi hao ambao wengi wao ni kutoka nchini Syria wamekumbwa na uvamizi huo katika hali ambayo wanaishi kwenye mazingira magumu sana wao na familia zao.