-
Gazeti la Wall Street: Syria na Misri zinakaribia kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
Apr 02, 2023 07:20Duru za kuaminika zimelidokeza gazeti la Wall Street (WSJ) linalochapishwa nchini Marekani kwamba Syria na Misri ziko katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia ambao ulivunjwa baada ya kuzuka mgogoro nchini Syria mnamo mwaka 2011.
-
Mwanaharakati wa Misri akamatwa Saudia akifanya Umra
Mar 30, 2023 22:40Vyombo vya usalama vya Saudi Arabia vimeripotiwa kumtia mbaroni mwanaharakati mashuhuri wa Misri, akifanya ibada ya Umra katika mji mtukufu wa Makka.
-
Rais wa Misri awaonya wanaolalamikia hali mbaya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi hiyo
Mar 11, 2023 03:56Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri ameonya kuhusu matokeo hasi dhidi ya maandamano yoyote yatakayofanywa kulalamikia hali ya kiuchumi na kisiasa ya nchi hiyo.
-
Rais Bashar al Assad aonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri mjini Damascus
Feb 27, 2023 22:49Rais Bashar al Assad wa Syria, jana Jumatatu alionana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Sameh Shoukry, ambaye ametembelea Damascus kwa ziara ya kikazi, ikiwa ni mkondo mpya wa kurejea nchi za Kiarabu nchini Syria.
-
Onyo la Bunge la Misri kuhusu njaa na ughali wa bidhaa muhimu
Jan 05, 2023 03:48Wabunge wa Misri, wameonya kuhusu njaa na ughali wa bidhaa nchini humo na kusisitiza kuwa Wamisri wamechoshwa na hali hiyo. Wameituhumu serikali kuwa imeshindwa kabisa kukabiliana na mfumuko wa bei uliokithiri nchini kuhusu bidhaa za msingi.
-
Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo kati ya Tehran na Cairo
Dec 25, 2022 04:09Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Waziri Mkuu wa Iraq alipendekeza katika Mkutano wa Baghdad-2 kuhusu suala la kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Misri kuhusu masuala ya kisiasa na kiusalama.
-
Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni
Oct 11, 2022 08:42Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Marekani yaipa Misri msaada wa kijeshi licha ya Cairo kukiuka haki za binadamu
Sep 15, 2022 06:22Marekani itaipatia Misri sehemu kubwa ya dola milioni 300 zilizotengwa kama msaada wa kijeshi wa Washington kwa Cairo wenye masharti licha ya pande mbalimbali kudhihirisha wasiwasi wao kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Misri.
-
Ujumbe wa Israel wafanya safari ya kificho nchini Misri
Sep 05, 2022 06:38Ujumbe wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya safari ya siri nchini Misri kwa lengo la kujaribu kupunguza taharuki baina ya Cairo na Tel Aviv.
-
Misri mwenyeji wa luteka inayojumuisha US, Saudia, Ugiriki na Imarati
Aug 22, 2022 06:34Vikosi maalumu vya majeshi ya Misri, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Ugiriki na Cyprus vimezindua mazoezi ya pamoja ya kijeshi nchini Misri.