-
Malengo tofauti ya safari ya kieneo ya Bin Salman
Jun 22, 2022 05:15Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanza safari yake ya kieneo kwa kufanya ziara huko Misri na kuzitembelea pia nchi mbili za Jordan na Uturuki.
-
Al Azhar yalaani kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW nchini India
Jun 06, 2022 22:03Chuo Kikuu cha Kiislamu ya al Azhar cha nchini Misri kimelaani utovu wa adabu wa wanachama wawili wa chama tawala cha BJP cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
-
Safari ya kwanza ya ndege ya biashara kutoka Sana'a kuelekea Cairo baada ya miaka 6
May 31, 2022 03:08Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza habari ya kuanza safari ya kwanza ya ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a kuelekea Cairo Misri ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka sita.
-
Jeshi la Misri lawaangamiza magaidi 10 katika jangwa la Sinai
May 29, 2022 23:42Jeshi la Misri limetangaza kuwa magaidi 10 wameuliwa katika mapigano na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kaskazini ya jangwa la Sinai.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya jeshi la Misri
May 10, 2022 03:23Saeed Khatibzadeh, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma ya hivi karibuni ya kigaidi dhidi ya Jeshi la Misri katika Jangwa la Sinai ambapo wanajeshi kadhaa wameuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Mahakama ya Rufaa Misri yapasisha kifungo cha maisha jela dhidi ya Badie
Apr 21, 2022 07:36Mahakama ya Rufaa nchini Misri imepitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa chama cha Ikhwanul Muslimin (Muslim Brotherhood) Mohammed Badie.
-
HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan
Mar 28, 2022 06:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwazuilia kinyume cha sheria na kuwatesa makumi ya wakimbizi wa Sudan.
-
Malengo ya mikutano ya Bennett, Bin Zayed na Al-Sisi huko Misri
Mar 23, 2022 21:52Waziri Mkuu wa Israel na Mwanamfalme wa Abu Dhabi wamekutana na Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika ziara zao nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Israel aitembelea Misri, akutana na Rais Sisi
Mar 22, 2022 22:12Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameripotiwa kuitembelea Misri katika ziara ya siri na kificho, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na ngazi za juu wa nchi hiyo, akiwemo Rais Abdel Fattah al-Sisi.
-
HRW yaitaka Saudi Arabia iwaachilie huru Wamisri 10 inaowashikilia
Mar 17, 2022 07:24Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limeutaka ukoo wa Aal Saud unaotawala kiimla nchini Saudi Arabia uwaachilie huru Wamisri 10 inaowashikilia.