Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Mawaziri watatu wakumbwa na ugonjwa wa corona nchini Misri

    Mawaziri watatu wakumbwa na ugonjwa wa corona nchini Misri

    Feb 22, 2021 10:33

    Mawaziri watatu wa Misri yaani waziri wa biashara na viwanda, waziri wa mahakama na waziri wa fedha wamekumbwa na ugonjwa wa COVID-19.

  • Marekani yaiuzia silaha Misri licha ya serikali ya el Sisi kuendelea kukiuka haki za binadamu

    Marekani yaiuzia silaha Misri licha ya serikali ya el Sisi kuendelea kukiuka haki za binadamu

    Feb 17, 2021 23:08

    Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola milioni 200 kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.

  •  Mwakilishi wa Umoja wa Afrika ziarani Misri kujadili bwawa la An Nahdhah

    Mwakilishi wa Umoja wa Afrika ziarani Misri kujadili bwawa la An Nahdhah

    Feb 01, 2021 23:31

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amekutana na kufanya mashauriano na viongozi wa Misri huko Cairo kuhusu bwawa la An Nahdhah.

  • Misri yawaweka viongozi 50 wa Ikhwanul Muslimin katika orodha ya magaidi

    Misri yawaweka viongozi 50 wa Ikhwanul Muslimin katika orodha ya magaidi

    Jan 26, 2021 07:25

    Mahakama nchini Misri imewaweka viongozi 50 wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo katika orodha ya magaidi.

  • Vifo na kunyongwa wafungwa katika magereza ya Misri vyaongezeka

    Vifo na kunyongwa wafungwa katika magereza ya Misri vyaongezeka

    Jan 10, 2021 21:11

    Kitengo cha upashaji habari cha Misri kimetangaza kuwa watuhumiwa wa masuala ya kisiasa wasiopungua 37 walinyongwa mwaka uliopita wa 2020 na watu wengine 75 waliaga dunia kwa uzembe wa kutopatiwa matibabu katika magereza ya Misri.

  • Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa na kujeruhiwa kaskazini mwa nchi

    Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa na kujeruhiwa kaskazini mwa nchi

    Jan 02, 2021 03:53

    Wanajeshi wasiopungua wanane wa Misri wameuawa na kujeruhiwa baada ya gari lao kukanyaga bomu katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani yaafiki kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudia

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani yaafiki kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudia

    Dec 30, 2020 02:47

    Katika mwendelezo wa siasa za White House zinazolenga kuuza silaha zaidi; Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa imeafiki kutekelezwa mikataba ya kuziuzia silaha Misri, Kuwait na Saudi Arabia.

  • Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Dec 29, 2020 02:39

    Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari sana kwa waandishi habari katika mwaka huu wa 2020.

  • Misri yaahidi kufungua tena ubalozi wake nchini Libya

    Misri yaahidi kufungua tena ubalozi wake nchini Libya

    Dec 28, 2020 04:40

    Serikali ya Misri imetangaza kuwa, karibuni hivi itafungua tena ubalozi wake katika nchi jirani ya Libya.

  • Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu

    Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu

    Dec 18, 2020 23:30

    Katika kipindi cha mwezi mmoja wa hivi karibuni kumekuwa kukiripotiwa habari kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mgogoro baina ya Qatar na mataifa manne ya Kiarabu ya Saudi Arabia, Imarati, Misri na Bahrain.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS