Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Rais wa Misri aliamuru jeshi kuandaa oparesheni nje ya nchi

    Rais wa Misri aliamuru jeshi kuandaa oparesheni nje ya nchi

    Jun 21, 2020 03:45

    Rais Abdel Fattah el-Sisi ameliamuru jeshi la Misri kujitayarisha kutekeleza oparesheni ndani na nje ya nchi kwa lengo la kulinda usalama wa taifa huku hali ya taharuki ikiongezeka baina ya nchi hiyo na Uturuki kuhusu kadhia ya Libya.

  • Misri yataka UN iingilie kati mzozo wa bwawa la al-Nahdha

    Misri yataka UN iingilie kati mzozo wa bwawa la al-Nahdha

    Jun 20, 2020 02:17

    Misri imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati kwa ajili ya kutatua mgogoro wa bwawa la al-Nahdha la nchini Ethiopia.

  • Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Hakuna anayeamini kwamba Morsi alikufa kifo cha kawaida

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Hakuna anayeamini kwamba Morsi alikufa kifo cha kawaida

    Jun 18, 2020 07:27

    Jumuiya ya kimataifa za kutetea haki za binadamu zimetoa taarifa kwa mnasaba wa kutimia mwaka mmoja tangu kuaga dunia rais wa zamani wa Misri, Mohammad Morsi zikisisitiza kuwa, hakuna hata mtu mmoja aliyeamini riwaya ya serikali ya Misri iliyodai Morsi alifariki dunia kwa kifo cha kawaida.

  • Misri na Ethiopia zaafikiana juu ya maji ya bwana la al Nahdha

    Misri na Ethiopia zaafikiana juu ya maji ya bwana la al Nahdha

    Jun 18, 2020 03:15

    Misri na Ethiopia zimeafikiana juu ya jinsi ya kujaza maji katika bwana lililozusha mgogoro mkubwa baina ya pande hizo mbili la al Nahdha.

  • Misri kufungua viwanja vya ndege Julai, Algeria yalegeza sheria za kudhibiti corona

    Misri kufungua viwanja vya ndege Julai, Algeria yalegeza sheria za kudhibiti corona

    Jun 16, 2020 00:25

    Misri imetangaza kuwa itafungua viwanja vyake vyote vya ndege kuanzia Julai Mosi, baada ya kuvifunga kwa miezi kadhaa sasa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya

    Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya

    Jun 08, 2020 07:34

    Serikali ya Morocco imepinga mpango wa Misri kuhusu Libya na kusisitiza kuwa muafaka wa kisiasa wa al Sakhirat ni marejeo asili ya ufumbuzi wa mgogoro wa Libya.

  • Waziri wa zamani wa Misri: Israel ni adui wa kiistratajia wa Wamisri

    Waziri wa zamani wa Misri: Israel ni adui wa kiistratajia wa Wamisri

    Jun 07, 2020 22:08

    Waziri wa zamani wa Misri ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama adui wa kistratajia wa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.

  • Ethiopia yaituhumu Misri kuwa imechochea ghasia na machafuko nchini humo

    Ethiopia yaituhumu Misri kuwa imechochea ghasia na machafuko nchini humo

    Jun 04, 2020 07:13

    Afisa wa serikali ya jimbo la Oromia nchini Ethiopia ameituhumu serikali ya Misri kuwa imechochea maandamano na ghasia zilizoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni jimboni humo.

  • Safari ya Jenerali Haftar nchini Misri

    Safari ya Jenerali Haftar nchini Misri

    Jun 04, 2020 03:19

    Kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Kitaifa la Libya yuko mjini Cairo Misri, kwa lengo la kuonana na kuzungumza na viongozi wa nchi hiyo.

  • Magaidi 21 waliopanga kuvuruga sherehe za Iddi wauawa Sinai, Misri

    Magaidi 21 waliopanga kuvuruga sherehe za Iddi wauawa Sinai, Misri

    May 24, 2020 05:15

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 21 wa genge moja la kigaidi katika operesheni mbili tofauti zilizofanyika katika Peninsula ya Sinai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS