Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Makabila ya kaskazini mwa Misri yajiandaa kutekeleza operesheni dhidi ya ISIS

    Makabila ya kaskazini mwa Misri yajiandaa kutekeleza operesheni dhidi ya ISIS

    May 16, 2020 21:50

    Duru za kieneo zimeripoti kwamba makabila ya eneo la Sinai, kaskazini mwa Misri yametangaza utayarifu wao wa kutekeleza operesheni dhidi ya magaidi wa kundi la Daesh baada ya kumalizika mwezi wa Ramadhani.

  • Wananchi wa Misri wahimiza kupambana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria

    Wananchi wa Misri wahimiza kupambana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria

    May 10, 2020 03:16

    Harakati moja ya wananchi wa Misri imesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuishukuru Syria kwa kusimama kidete na kujitolea kupambana vilivyo na magenge ya kigaidi ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia nzima, na imeyataka mataifa ya dunia kuungana kupinga vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya Syria.

  • 'Rais wa Misri analitumia vibaya janga la corona kujiongezea mamlaka ili kushadidisha ukandamizaji'

    'Rais wa Misri analitumia vibaya janga la corona kujiongezea mamlaka ili kushadidisha ukandamizaji'

    May 09, 2020 03:07

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa hatua ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri ya kujiongezea mamlaka kwa kutumia kisingizio cha kukithiri maambukizi ya corona nchini humo.

  • Ushirikiano wa Hamas na Misri katika kukakbiliana na magaidi wakufurishaji eneo la Sinai

    Ushirikiano wa Hamas na Misri katika kukakbiliana na magaidi wakufurishaji eneo la Sinai

    May 05, 2020 23:43

    Duru mjini Cairo zinadokeza kuwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) inashirikiana na serikali ya Misri katika kukabiliana na magaidi wakufurishaji katika eneo la Sinai.

  • Magaidi 126 na askari 15 wauawa katika mapigano makali Misri

    Magaidi 126 na askari 15 wauawa katika mapigano makali Misri

    May 03, 2020 21:57

    Jeshi la Misri limesema askari wake 15 wameuawa katika mapigano makali na magaidi ambapo magaidi 126 wakufurishaji pia wameuawa mashariki mwa nchi.

  • Asasi ya kiraia yakosoa hali mbaya ya jela za Misri

    Asasi ya kiraia yakosoa hali mbaya ya jela za Misri

    Apr 30, 2020 08:15

    Kwa mujibu wa kanali moja ya Kiarabu inayotoa taarifa kuhusu haki za binaadamu, ukandamizaji na virusi vya Corona vinawahangaisha wafungwa na mahabusu katika jela za Misri na kuwasumbua.

  • Misiri yaongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu

    Misiri yaongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu

    Apr 28, 2020 06:41

    Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri leo ametangaza kuwa hali ya hatari kitaifa nchini humo itaendelea kwa muda wa miezi mingine mitatu.

  • Filamu ya

    Filamu ya "al Nihaya" yatabiri kuangamia utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani

    Apr 27, 2020 07:20

    Filamu iliyotengenezwa nchini Misri na kupewa jina la al Nihaya (The End) kwa maana ya mwisho, imetabiri kungamia kikamilifu utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika miaka ijayo.

  • Serikali ya Misri yaliunga mkono jeshi la Syria, yahimiza ushirikiano katika vita dhidi ya magaidi

    Serikali ya Misri yaliunga mkono jeshi la Syria, yahimiza ushirikiano katika vita dhidi ya magaidi

    Apr 23, 2020 21:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametilia mkazo udharura wa kuendelea operesheni za jeshi la Syria za kupambana na magenge ya kigaidi nchini humo.

  • Marekani yaelemewa na janga la Corona, yapewa msaada na Misri

    Marekani yaelemewa na janga la Corona, yapewa msaada na Misri

    Apr 22, 2020 08:23

    Misri imetuma nchini Marekani ndege iliyosheheni vifaa na zana za kitiba za kukabiliana na virusi vya Corona, wakati huu ambapo nchi hiyo inayotajwa kuwa dola kubwa na lenye uwezo zaidi duniani linaendelea kulemewa na janga ugonjwa wa Covid-19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS