-
Wapinzani 37 wa serikali ya Cairo wahukumiwa kifo nchini Misri
Mar 02, 2020 22:56Mahakama ya Misri imewahukumu kifo wanaharakati 37 kwa kile kilichotajwa kuwa ni kuhusika na harakati za makundi ya kigaidi.
-
Kuanza tena uhusiano wa posta kati ya Misri, Saudi Arabia, Bahrain na Qatar
Feb 25, 2020 09:57Katika hatua yao mpya Misri, Saudi Arabia na Bahrain zimeamua kuanza tena kutoa huduma za posta kwa Qatar.
-
Misri yapongeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini
Feb 24, 2020 08:19Serikali ya Misri imepngeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini na kusema kuwa ina matumaini hatua hiyo itatoa fursa ya kushuhudiwa utulivu na usalama wa kudumu nchini humo.
-
Mahakama Misri yawaondoa hatiani wanae Mubarak
Feb 22, 2020 21:47Wana wawili wa kiume wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wameondolewa hatiani na mahakama katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya uuzaji hisa za benki kinyume cha sheria miaka minne kabla ya mwamko wa mwaka 2011 uliopelekea baba yao kuondolewa madarakani baada ya miaka 30 ya utawala wake wa kidikteta.
-
Misri yataka bara la Afrika lipewe haki ya kura ya veto
Feb 15, 2020 23:21mwakilishi wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametaka bara la Afrika lipewe viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama la umoja huo na haki ya kura ya veto (turufu).
-
Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri
Feb 12, 2020 04:02Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 17 wa genge moja la kigaidi katika mji wa al-Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Uchunguzi: Al Sisi anawaua wapinzani wake kwa "mauti ya polepole" wakiwa jela
Feb 10, 2020 04:51Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya al Jazeera ya Qatar umefichua takwimu za kutisha kuhusu idadi ya wafungwa wa kisiasa waliouawa au kuaga dunia kutokana na kutelekezwa, kutopatiwa matibabu kwa makusudi na mazingira mabaya kupita kiasi ndani ya jela za Misri tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdel Fattah al Sisi mwezi julai mwaka 2013.
-
Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya
Feb 08, 2020 23:12Rais wa Miisri ametahadharisha kuwa kuhamisha magaidi walioko Syria na kuwapelekwa Libya kutakuwa na matokeo hatari kwa nchi zote jirani za Kiafrika.
-
Misri yatahadharisha kuhusu madola ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya Libya
Feb 02, 2020 23:36Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametahadharisha kuhusu madhara yanayosababishwa na madola ajinabi ya kuingilia masuala ya ndani ya Libya.
-
Watu 37 wahukumiwa kifo nchini Misri
Feb 01, 2020 23:11Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 37 akiwemo Hisham al Ashmawy afisa wa zamani wa jeshi la nchi hiyo aliyejiunga na magenge ya kigaidi.