-
Jibu la watumiaji wa mtandao wa X kwa tishio la shambulio la nchi kavu la Marekani: Tunawasubiri, njooni, majeneza yako tayari!
Apr 02, 2026 08:45Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamevitaja vitisho vya Marekani vya kuanzisha mashambulizi na uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran kuwa ni dhihirisho lingine la kukata tamaa kwa Marekani dhidi ya nguvu ya kijeshi na ulinzi ya Iran.
-
Watumiaji wa mitandao ya Kijamii wanasemaje kuhusu vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran?
Mar 24, 2026 07:47Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza maoni yao kuhusu vita vya sasa vya Marekani na Israel dhidi ya Iran wakisisitiza kuwa Wairani sasa wamekuwa nembo ya kusimama kidete na kupambana na madola ya kidhalimu na kibeberu kote duniani.
-
Televisheni ya Kiebrania ya Iran yazua wasiwasi katika vyombo vya habari vya Israel
Dec 04, 2025 08:33Press TV ya Iran imezindua kitengo cha lugha ya Kiebrania jambo ambalo limezua hofu katika duru za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwani hatua hiyo inaonekana kama sehemu ya juhudi za kimkakati za Iran kuathiri maoni ya Waisraeli huku kukiwa na vita vya simulizi vinavyozidi kupamba moto.
-
Watumiaji X: Kutoka Afghanistan hadi Venezuela; mlolongo wa uingiliaji kati wa Marekani unaendelea
Oct 17, 2025 10:41Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
-
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Oct 15, 2025 10:57Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
-
Watumiaji wa X: Hamas imehuisha jina Palestina/ Israel ndilo neno linalochukiwa zaidi duniani
Oct 14, 2025 00:55Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa Palestina, "Hamas."
-
Kutoweza Afrika Kusini kuachana na Muqawama na ukombozi wa Palestina
Apr 25, 2025 03:47Tarehe 29 Disemba 2023 imerekodiwa katika kumbukumbu za historia ya baada ya mwaka 1994 ya Afrika Kusini kama siku muhimu sana baada ya Pretoria kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama ya ICJ, ikiwasilisha hoja za kisheria za kina na zenye mashiko kwamba ukatili wa Israel katika Ukanda wa Ghaza unakanyaga Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari.
-
Kwa mara nyingine Yemen yayatwanga maeneo ya jeshi la Israel huko Jaffa
Apr 12, 2025 03:11Jeshi la Yemen (YAF) limetangaza habari ya kufanya operesheni nyingine ya ndege zisizo na rubani na kutwanga maeneo mawili ya jeshi la Israel katika eneo Jaffa karibu na Tel Aviv na kusema kuwa hayo ni majibu ya moja kwa moja ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.
-
Wanamitandao wa Iran: "Trump anasema uwongo", "Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo"
Apr 08, 2025 07:16Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran na ushirikiano wake na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kufanya jinai za kivita huko Ghaza.
-
Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Ghaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Apr 03, 2025 10:56Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.