-
Waziri Mkuu wa Sudan anusurika kifo katika shambulio la bomu
Mar 09, 2020 06:45Waziri Mkuu wa Sudan Abdulla Hamdok amenusurika kifo leo kufuatia mlipuko wa gari uliolenga gari lake katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.
-
Milipuko kadhaa mikubwa katika Bandari ya al-Fujairah UAE
May 12, 2019 10:25Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa kujiri katika Bandari ya al-Fujairah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu, Somalia
Mar 28, 2019 10:38Kwa akali watu 15 wameuawa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini, nje ya hoteli na mikahawa katika eneo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Makumi ya wanahabari waandamana Sudan kulalamikia ukandamizaji wa al-Bashir
Mar 25, 2019 09:57Makumi ya wanahabari wameandamana leo katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum wakitaka kuachiliwa huru Osman Mirghani, Mhariri Mkuu wa gazeti mashuhuri la al-Tayar na kulalamikia ukandamizaji wa vyombo vya usalama dhidi ya waandamanaji.
-
Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan
Mar 24, 2019 19:43Watoto wasipungua 10 wamepoteza maisha baada ya chombo kisichojulikana kulipuka katika mji wa Omdurman karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
Milipuko ya mabomu na milio ya risasi vyautikisa mji wa Mogadishu Somalia
Mar 23, 2019 09:45Duru za habari nchini Somalia zimeripoti kuwa miripuko miwili ya kutisha ya mabomu pamoja na milio ya risasi imeitikisa Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Askari watano wa Marekani wauawa katika shambulio la bomu Manbij, kaskazini mwa Syria
Jan 17, 2019 12:45Askari wasiopungua watano wa jeshi la Marekani na raia 18 wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na mahali ulipokuwa ukipita msafara wa askari wa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani, katika mji wa Manbij kaskazini mwa Syria.
-
Watu 16 wapoteza maisha katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Dec 22, 2018 11:45Watu 16 wamepoteza maisha kufuatia hujuma ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu kumi wafariki dunia katika mlipuko wa bomu nchini Ethiopia
Dec 20, 2018 04:24Kwa akali watu 10 wamefariki dunia nchini Ethiopia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa kando ya barabara moja magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mripuko katika mji mkuu wa Somalia waua watu wanane na kujeruhi wengine 10
Nov 26, 2018 12:17Jeshi la polisi nchini Somalia limetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa watu wasiopungua 18 baada ya gari lililokuwa limetegwa mabomu kuripuka mjini Mogadishu leo Jumatatu.