-
Mripuko wa bomu Sinai, Misri waua wafanyakazi watatu
Oct 25, 2018 13:52Wafanyakazi watatu raia wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko na ukosefu wa usalama la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 50 wafa, 100 wachomwa na moto wa lori la mafuta DRC
Oct 06, 2018 15:29Watu wasiopungua 50 wamepoteza maisha na wengine 100 wamepata majeraha ya moto baada ya lori la mafuta lililopinduka kuanza kuwaka moto huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanajeshi 8 wauawa katika mripuko kaskazini mwa Burkina Faso
Sep 27, 2018 03:00Askari wanane wa jeshi la Burkina Faso wamepoteza maisha kufuatia mripuko wa bomu uliotokea jana Jumatano kaskazini mwa nchi.
-
Sita wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Sep 02, 2018 13:23Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya gaidi mmoja kushambulia kwa bomu ofisi ya serikali za mitaa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Wanajeshi 3 Wasomali wauawa katika hujuma ya kigaidi nje ya Mogadishu
Aug 05, 2018 15:33Wanajeshi wasiopungua watatu wa Somalia wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika wilaya ya Afgoye iliyo kilomita 30 kaskaini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Mripuko wa bomu watokea karibu na ikulu ya rais wa Somalia
Jul 07, 2018 14:25Polisi ya Somalia imetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu karibu na ikulu ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa nchi hiyo mjini Mogadishu.
-
Washukiwa wawili watiwa nguvuni kuhusiana na mlipuko wa Zimbabwe
Jul 04, 2018 13:55Polisi nchini Zimbabwe imewatia mbaroni washukiwa wawili kuhusiana na mlipuko wa guruneti ulioua watu wawili na kuwajeruhi wengine 47 katika mkutano wa kampeni wa Rais Emmerson Mnangagwa mwezi uliopita.
-
Ethiopia: Shambulio la guruneti ni sehemu ya njama ya njama ya kuvuruga uchumi
Jun 29, 2018 15:38Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia imeeleza kuwa kukatika umeme na njia za mawasiliano kulikojiri kwa wakati mmoja na shambulio la guruneti katika mkutano uliohudhuriwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed Jumamosi iliyopita ilikuwa sehemu ya njama kubwa.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 04:45Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia anusurika kifo katika hujuma ya mlipuko wa bomu
Jun 23, 2018 14:02Mripuko wa bomu umetokea katikati ya wafuasi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia mjini Addis Ababa na ambao ulikuwa umemkusudia kiongozi huyo na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.