Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti

  • Palestina: Si msikiti wa Al Aqsa pekee Palestina unaovamiwa na kuvunjiwa heshima na Wazayuni

    Palestina: Si msikiti wa Al Aqsa pekee Palestina unaovamiwa na kuvunjiwa heshima na Wazayuni

    Jun 01, 2022 08:07

    Wizara ya Waqfu ya Palestina imetangaza kuwa, mbali na Al Aqsa, kuna misikiti mingine mingi Palestina katika Ufukwe wa Magharibi inayovamiwa na kuvunjiwa heshima na wazayuni.

  • Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India

    Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India

    May 20, 2022 01:20

    Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.

  • Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul

    Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul

    May 01, 2022 14:31

    Msemaji wa serikali ya Taliban amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti mmoja katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul siku ya Ijumaa iliyopita. Kundi la Taliban limelitaja shambulizi hilo ambalo liliua na kujeruhi makumi ya waumini, kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.

  • Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Apr 17, 2022 07:59

    Watu watano wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na wahalifu wasiojulikana nchini Canada, huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini humo.

  • Watu zaidi ya 32 wauawa katika hujuma msikitini Qandahar, Afghanistan

    Watu zaidi ya 32 wauawa katika hujuma msikitini Qandahar, Afghanistan

    Oct 15, 2021 14:18

    Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.

  • Misikiti India yageuzwa kuwa vituo vya wagonjwa wa Covid-19

    Misikiti India yageuzwa kuwa vituo vya wagonjwa wa Covid-19

    May 11, 2021 02:50

    Aghalabu ya misikiti nchini India imegeuzwa na kuwa vituo vya kuwapokea wagonjwa wa Covid-19, huku mfumo wa afya wa nchi hiyo ukiendelea kulemewa kupita kiasi, vitanda kufurika mahospitalini, sambamba na kushuhudia uhaba mkubwa wa dawa na hewa ya oksijeni katika wimbi la pili la Corona nchini humo.

  • Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen

    Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen

    Apr 26, 2021 07:59

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, imenasa mawasiliano yaliyofanywa kati ya Marekani na vinara kadhaa wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda katika mikoa ya Aden na Ma'rib na mashauriano yaliyofanywa baina ya pande hizo mbili.

  • Serikali ya Saudia yabomoa msikiti mwingine wa Waislamu wa Kishia

    Serikali ya Saudia yabomoa msikiti mwingine wa Waislamu wa Kishia

    Apr 24, 2021 12:38

    Mabuldoza ya utawala wa Aal Saud yamebomoa msikiti mwingine ulioko kandokando ya mji wa Qatif ambao wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki ya Saudi Arabia.

  • Mabaki ya msikiti wa kale yadhihirisha jinsi Uislamu ulivyo na uvumilivu kwa dini zingine

    Mabaki ya msikiti wa kale yadhihirisha jinsi Uislamu ulivyo na uvumilivu kwa dini zingine

    Jan 29, 2021 13:06

    Wanaakiolojia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel wamesema, wamegundua mabaki ya msikiti wa kale ambao inaaminika ni wa miongo ya tangu mwanzoni mwa Uislamu. Mabaki ya msikiti huo yamegunduliwa katika uchimbuaji uliofanywa katika mji wa Tiberias kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Viongozi wa Ufaransa waifunga misikiti 9 nchini humo

    Viongozi wa Ufaransa waifunga misikiti 9 nchini humo

    Jan 18, 2021 08:17

    Viongozi wa Ufaransa wameifunga misikiti 9 nchini humo katika kuendelea sera za chuki za serikali ya Paris dhidi ya Uislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS