-
Wananchi wa Saudi Arabia waghadhibishwa na kubomolewa msikiti wa Washia huko Al Awamiyah
Dec 08, 2020 08:40Wananchi wa Saudi Arabia wametangaza katika mitandao ya kijamii kughadhibishwa na kitendo cha utawala wa Aal Saud cha kubomoa msikiti wa Imam Hussein A.S huko Al Awamiyah nchini humo.
-
Yamkini Misikiti 76 ikafungwa Ufaransa katika kampeni dhidi ya Waislamu
Dec 04, 2020 08:34Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchi hiyo.
-
Ufaransa yalaumiwa kwa kuficha tukio la kudungwa visu Waislamu 2 kwenye Mnara wa Eiffel, al Azhar yaalani
Oct 22, 2020 23:31Mashambulizi na hujuma dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa yameongezeka katika siku chache za hivi karibuni kwa kisingizio cha kupambana na "misimamo mikali".
-
Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki
Sep 15, 2020 02:59Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Waislamu wa Ugiriki walalamikia amri ya serikali ya kufungwa msikiti mkongwe karibu na Athens
Jun 25, 2020 07:10Jumuiya ya Waislamu nchini Ugiriki imekosoa vikali agizo la serikali ya nchi hiyo la kufungwa msikiti mkongwe zaidi uliopo jirani na mji mkuu Athens.
-
Wahindu wenye kufurutu ada wachoma moto misikiti nchini India
Mar 04, 2020 09:46Serikali ya India imefichua habari ya kuchomwa moto kikamilifu misikiti tisa na mamia ya nakala za Qur'an Tukufu katika shambulizi lililofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Waislamu.
-
Watu wenye chuki watishia kulipua kwa bomu msikiti mjini Berlin, Ujerumani
Nov 26, 2019 01:09Viongozi wa msikiti wa Sehitlik mjini Berlin, mji mkuu wa Ujerumani wametangaza kwamba watu wenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu miongoni mwa makundi ya mrengo wa kulia na yenye misimamo ya kigaidi, wametishia kulipua kwa bomu msikiti huo.
-
Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri
Nov 09, 2019 12:09Katika hukumu ya uonevu na upendeleo wa wazi iliyotolewa kwa manufaa ya Wahindu wenye misimamo ya chuki na kufurutu mpaka, Mahakama ya Juu Kabisa ya India imeamua kuwapatia Wahindu eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri ili wajenge hekalu lao la Ram.
-
Miripuko ya mabomu yaua waumini wasiopungua 62 ndani ya msikiti nchini Afghanistan
Oct 18, 2019 12:48Watu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika miripuko kadhaa ya mabomu iliyotokea leo ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri
Oct 15, 2019 00:35Serikali ya India imezidisha hatua kali za usalama katika mji wa Ayodhya, jimbo la Uttar Pradesh huko kaskazini mwa nchi hiyo kabla ya kutolewa uamuzi muhimu sana wa Mahaka Kuu ya nchi hiyo juu ya mzozo wa eneo la Msikiti wa Babri linalogombaniwa baina ya Waislamu na Wahindu.