-
Vitendo vya ugaidi Tunisia, mada za miripuko zapatikana msikitini kabla ya kuripuka
Jul 04, 2019 05:27Maafisa usalama wa Tunisia wamegundua mada kadhaa za miripuko katika msikiti mmoja nchini humo na kuzitegua kabla ya kuripuka.
-
Saudi Arabia kubana vikali harakati za watoa mawaidha katika mwezi wa Ramadhani
May 04, 2019 21:57Waziri wa Masuala ya Kiislamu wa Saudi Arabia ametangaza kuwa, makhatibu na watoa mawaidha misikiti katika mwezi mtukufu wa Ramadhani watapaswa kufanya mambo yao kwa mujibu wa siasa za utawala wa Aal Saud; kwani kinyume na hivyo watachukuliwa hatua kali.
-
Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza
Mar 21, 2019 11:34Misikiti mitano imeshambuliwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza, wiki moja baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini New Zealand na kuua makumi ya Waislamu na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi
Mar 17, 2019 00:56Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
CAIR: Trump ndie chanzo cha hujuma za kigaidi misikitini New Zealand
Mar 16, 2019 11:09Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limesema sera za Rais Donald Trump zimechangia kuchochea hujuma za kigaidi zilizojiri katika misikiti miwili nchini New Zealand Ijumaa na kupelekea Waislamu 49 kuuawa.
-
Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo
Mar 04, 2019 23:14Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono kujengwa misikiti nchini humo.
-
Aliyechoma moto msikiti jimbo la Texas, Marekani ahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela
Oct 18, 2018 04:38Mahakama ya Marekani imemuhukumu kifungo cha miaka 25 jela mwanamume mmoja aliyehusika na tukio la kuchoma moto msikiti katika jimbo la Texas nchini humo.
-
Watu wawili wauawa kwa kudungwa visu msikitini nchini Afrika Kusini
Jun 14, 2018 03:42Kwa akali watu wawili wamethibitishwa kuuawa kwa kudungwa visu wakiwa msikitini, baada ya mtu mmoja kuvamia eneo hilo la ibada nchini Afrika Kusini.
-
Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini
Jun 11, 2018 02:46Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Msikiti washambuliwa kwa moto na magaidi wenye chuki ya Uislamu nchini Uingereza
Jun 08, 2018 20:52Katika hatua ya chuki dhidi ya Uislamu, msikiti mmoja wa eneo la Beeston mjini Leeds nchini Uingereza umeshambuliwa kwa moto na watu wasiojulikana.