-
Kimbunga cha Idai chaua zaidi ya watu 100 Zimbabwe na Msumbiji
Mar 18, 2019 07:56Watu zaidi ya 100 wameaga dunia na wengine wengi hawajulikani waliko katika nchi za Msumbiji na Zimbabwe baada ya kimbunga cha tropiki cha Idai kuzikumba nchi hizo za kusini mwa Afrika na kusababisha mafuriko ya gharika na pepo kali.
-
Mafuriko yaendelea kuua katika nchi za kusini mwa Afrika
Mar 15, 2019 01:18Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Malawi.
-
UN: Kimbunga na mafuriko yameua watu 10 Msumbiji
Mar 12, 2019 07:40Kwa akali watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji.
-
Watu wengine 7 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Feb 09, 2019 07:44Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi jingine la kigaidi huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Jan 15, 2019 14:40Kwa akali watu 12 wameuawa katika shambulizi la kigaidi kaskazini mwa Msumbiji.
-
Msumbiji: Raia wa Tanzania na Afrika Kusini ndio wanaoongoza 'al-Shabaab'
Jan 01, 2019 08:16Waendesha Mashitaka nchini Msumbiji wamewataja raia wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini kuwa miongoni mwa makamanda wa kundi la kigaidi la al-Shabaab ambalo hapo awali lililikuwa linajiita Ahlu Sunna Wal Jamaa, linalofanya hujuma za umwagaji damu katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi.
-
HRW: Askari usalama Msumbiji wanakiuka haki za binadamu
Dec 05, 2018 01:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limevituhumu vyombo vya usalama vya Msumbiji kuwa vinakiuka haki za binadamu katika operesheni zake za kupambana na ugaidi kaskazini mwa nchi.
-
Al Shabab 200 wapandishwa kizimbani nchini Msumbiji
Oct 05, 2018 03:03Maafisa wa mahaka za Msumbiji wametangaza kuwa wamewahukumu wanachama 200 wa kundi la kigaidi la al Shabab.
-
Hujuma za kigaidi zalipuka tena Msumbiji, 12 wauawa
Sep 21, 2018 13:46Kundi la kigaidi linaloaminika kuwa na mfungamano na al-Shabaab ya Somalia limevamia kijiji kimoja katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji na kuua watu 12 na kujeruhiwa wengine kadhaa.
-
Ripoti: Mashambulizi ya 'kigaidi' Msumbiji yameua watu 39 tangu Mei
Jun 20, 2018 07:42Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 39 wameuawa katika mashambulizi yanayoaminika kuwa ya kigaidi huko kaskazini mwa Msumbiji tangu mwezi Mei mwaka huu hadi sasa.