-
Raisi: Wajibu wa wakuu wa nchi za Kiislamu ni kudumisha amani miongoni mwa Waislamu
Mar 12, 2024 03:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, ni wajibu wa viongozi wa nchi za Kiislamu kuhimiza na kudumisha amani na undugu baina ya Waislamu.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 11, 2024 04:44Baadhi ya mataifa ya Kiislamu Jumatatu ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Israel kuruhusu Wapalestina waliopindukia miaka 70 tu kuingia Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Ramadhani
Feb 19, 2024 11:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha mpango wa kuwawekea vizuizi vikali Wapalestina wanaoishi kwenye ardhi zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na wa mji wa Baitul Muqaddas (Jeruselem) vya kuingia kwenye Msikiti wa Al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, utakaoanza wiki ya pili ya mwezi ujao wa Machi.
-
Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani
Apr 12, 2023 12:48Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani.
-
Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza Ramadhani
Mar 23, 2023 11:18Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Jihad Islami: Siku zilizobaki za Ramadhani ni uwanja wa vita vikali na wavamizi
Apr 12, 2022 07:48Mjumbe wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, siku zilizosalia za mwezi mtukufu wa Ramadhani zitakuwa uwanja wa vita vikali na wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu na kuongeza kuwa, ujinga wowote wa utawala ghasibu wa Israel utauangamiza utawala huo.
-
Raisi atuma salamu za Ramadhani kwa viongozi wa nchi za Kiislamu duniani
Apr 03, 2022 08:18Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa salamu za Ramadhan viongozi wa nchi za Kiislamu duniani.
-
Iran yawanyooshea mkono wa kheri Waislamu duniani kwa kuwadia Ramadhani
Apr 03, 2022 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Iran yawapongeza Waislamu kwa kuwadia mwezi wa Ramadhani
Apr 13, 2021 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Ndege za kivita za Iraq zashambulia ngome za magaidi wa ISIS nchini Iraq
Apr 11, 2021 07:45Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia ngome za magaidi wa ISIS au Daesh katika Milima ya Hamrin mkoani Diyala ambapo magaidi kadhaa wameangamizwa