-
Utafiti: Ni salama kufunga Saumu katika janga la Corona
Apr 03, 2021 02:43Utafiti mpya uliofanywa nchini Uingereza umebainisha kuwa, funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ya mwaka jana 2020 haikusababisha kuongezeka idadi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 miongoni mwa Waislamu nchini humo, kama ilivyodaiwa na baadhi ya viongozi na wanasiasa wahafidhina katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani
Apr 26, 2020 02:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.
-
Rais wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa AU awatumia Waislamu Salamu za Ramadhani
Apr 25, 2020 10:59Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amewatumia Waislamu salamu kwa mnasba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Leo ni siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini Iran
Apr 25, 2020 04:07Leo Jumamosi ni siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Fatwa ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Saumu ya Ramadhani wakati wa janga la corona
Apr 20, 2020 06:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amejibu swali (Istifta) kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika mazingira ya sasa ya kuenea janga la COVID-19 au corona duniani.
-
Watu 80 wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani jimboni Kano, Nigeria
May 17, 2019 07:29Polisi wanaosimamia sheria za Kiislamu (Sharia) katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria wamewatia mbaroni watu 80 kwa tuhuma za kula mchana hadharani, wakati huu wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kesho Jumanne, Siku ya Kwanza Ramadhani Iraq, Iran, Oman
May 06, 2019 08:05Kesho Jumanne Mei 7 itasadifiana na siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika nchi kadhaa duniani.
-
Usalama Waimarishwa misikitini Marekani kabla ya kuanza Mwezi wa Ramadhani
May 06, 2019 07:55Misikiti nchini Marekani imeimarisha usalama kwa kuwaajiri walinzi wenye silaha kabla ya kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Umoja wa Mataifa watoa pongezi za Ramadhani
May 06, 2019 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mkono wa pongezi na fanaka kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Saudia yaendelea kuitumia Hija kisiasa kwa kuwazuia Waqatar wasiende kufanya Umra ya Ramadhani
Jun 06, 2018 02:32Serikali ya Saudi Arabia imeendelea kuitumia ibada ya Hija kisiasa kwa kuweka masharti kadhaa yanayowazuia Waislamu kutoka Qatar kwenda kutekeleza Umra katika mwezi huu wa Ramadhani.