-
Nchi za Asia zambana kiongozi wa Mynamar kuhusu mauaji ya Warohingya
Mar 18, 2018 12:55Viongozi wa nchi za Asia na Australia wamemjia juu kiongozi wa Myanmar kutokana na kutochukua hatua za maana serikali yake kukomesha wimbi la mauaji ya Waislamu wa jamii ya Rohingya mkoani Rakhine.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya
Mar 17, 2018 04:29Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukusanywa misaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi takribani milioni moja wa jamii ya Rohingya wa Myanmar ambao wako katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh sambamba na kuandaliwa mazingira ya Waislamu hao kurejea nchini kwao.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar
Mar 14, 2018 10:51Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia maangamizi ya kizazi ametahadharisha kuwa serikali ya Myanmar inataka kutekeleza mauaji mengine ya kizazi dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sisitizo juu ya ulazima wa kuwasilishwa ICC faili la maangamizi ya kizazi nchini Myanmar
Mar 10, 2018 23:59Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Baraza Kuu la umoja huo linapasa kuwasilisha kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) faili la jinai zilizofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
UN: Tuna wasi wasi mauaji ya kimbari yamefanyika Myanmar
Mar 07, 2018 22:11Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza juu ya wasi wasi mkubwa alionao kwamba yumkini mauaji ya kimbari yamefanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar tangu Agosti mwaka jana 2017.
-
UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar
Mar 06, 2018 04:28Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Bangladesh yalalamikia hatua ya Myanmar kuweka askari wake wengi karibu na eneo walipo Waislamu
Mar 02, 2018 10:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Bangladesh imelalamikia hatua ya Myanmar ya kuongeza idadi ya askari wake katika eneo lililo karibu na kambi za maelfu ya Waislamu wa Rohingya katika sehemu ya uzio wa mpaka baina ya nchi mbili.
-
Human Rights Watch: Satalaiti zinaonyesha kuwa jeshi la Myanmar linaendeleza jinai
Feb 24, 2018 04:42Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema kuwa picha zilizochukuliwa kwa njia ya satalaiti zinaonyesha kwamba jeshi la Myanmar na magaidi wa Kibudha wa nchi hiyo, wanaendelea kuharibu na kuyachoma moto makazi ya Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini humo.
-
Kuwasilishwa kwa Myanmar orodha ya kwanza ya Waislamu wa Rohingya watakaorejeshwa nchini humo
Feb 18, 2018 04:43Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bangladesh ameikabidhi Myanmar orodha ya kwanza ya wakimbizi wa Waislamu wa kabila la Rohingya ambao wanatazamiwa kurejeshwa katika makazi yao.
-
UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya
Feb 14, 2018 03:55Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) amesema Myanmar imeshindwa kuandaa mazingira salama ya kuruhusu kurejea kwa khiari nchini humo Waislamu wakimbizi 688,000 Warohingya waliokimbilia nchi jirani ya Bangladesh.