-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila katika jimbo la Taraba Nigeria
Jun 24, 2017 09:42Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka katika jimbo la taraba la mashariki mwa Nigeria huku kikosi maalumu cha askari kikitumwa katika eneo hilo kwa ajili ya kutuliza mambo.
-
Nigeria: Hadi sasa jeshi letu limefanikiwa kuwaokoa mateka 4000 kutoka mikononi mwa Boko Haram
May 19, 2017 11:52Jeshi la serikali ya Nigeria limetangaza kuwa hadi sasa limefanikiwa kuwaokoa watu 4000 kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
-
Watu saba wauawa katika hujuma za kigaidi nchini Nigeria
Apr 24, 2017 10:35Watu wasiopungua saba wameuawa katika hujuma mbili za kigaidi kaskazini mwa Nigeria katika jimbo la Borno ambalo ni ngome ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Jeshi la Nigeria lakadhibisha kuwasajili mamluki wa kigeni kwa ajili ya kupambana na B/Haram
Nov 11, 2016 12:06Jeshi la Nigeria limekadhibisha taarifa kuwa linawasajili mamluki kutoka nchi za nje ili kuwatumia katika mapambano dhidi ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Sisitizo la Harakati ya Kiislamu ya Nigeria la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Nov 09, 2016 23:32Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesisitiza juu ya kuachiliwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa harakati hiyo na wakati huo huo kutoa wito wa kuendelezwa maandamano ya amani kwa ajili ya kufuatilia matakwa ya harakati hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Mamia ya maelfu ya watoto wa Nigeria wanakabiliwa na hatari ya ukame
Nov 02, 2016 04:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wanakabiliwa na hatari ya ukame.
-
Kuchunguzwa tuhuma za ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia Nigeria
Nov 01, 2016 04:17Rais wa Nigeria ameamuru kuchunguzwa tuhuma zilizowasilishwa dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo kwamba waliwabaka na kuwadhalilisha kijinsia wanawake na mabinti katika kambi za wakimbizi nchini humo.
-
Harakati za kiuchokozi za Saudia dhidi ya Waislamu wa Shia nchini Nigeria zakosolewa
Oct 19, 2016 04:20Harakati za kiuchokozi na uchochezi zinazofanywa na Saudia dhidi ya Waislamu wa Shia nchini Nigeria zimeendelea kukosolewa vikali na pande mbalimbali.
-
Askari wa Nigeria waichoma moto Husseiniyyah ya Waislamu wa Shia mji wa Jos
Oct 14, 2016 01:12Askari wa serikali ya Nigeria wameendelea kufanya jinai na ukatili dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo na mara hii wameshambulia na kuteketeza kwa moto kituo cha kidini cha Waislamu hao.
-
Waislamu Nigeria walionya jeshi la nchi hiyo
Oct 07, 2016 04:27Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Kiislamu nchini Nigeria amelionya jeshi la nchi hiyo kutokana na vitendo vyake vya kikatili na visivyo vya kibinaadamu dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.