-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria
Oct 02, 2016 07:57Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo nchi wafadhili hazitaisadia serikali ya Nigeria katika kuishughulikia hali mbaya ya kimaisha wanayokabiliwa nayo wakazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, basi ulimwengu utashuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu katika eneo hilo la magharibi mwa Afrika.
-
Vijana kadhaa wa Chad warejea nchini kutoka katika kambi za Boko Haram
Sep 29, 2016 04:39Duru za kuaminika zimearifu habari ya kurejea nchini vijana kadhaa wa Chad kutoka katika kambi za wanamgambo wa kundi la Boko Haram huko Nigeria.
-
Mwanasiasa: Uchochezi wa Saudia Nigeria, ndio chanzo cha kushambuliwa Mashia
Sep 26, 2016 04:39Mtaalamu mashuhuri wa masuala ya kisiasa nchini Nigeria amesema kuwa, upenyaji wa utawala wa Aal-Saud nchini humo, ndio chanzo cha kushambuliwa Waislamu wa Kishia.
-
Jeshi la Nigeria lauwa Boko Haram 15 jimboni Borno
Sep 23, 2016 14:22Msemaji wa Jeshi la Nigeria ameripoti kuwa wanamgambo 15 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa na jeshi katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Machafuko yashtadi eneo la Niger Delta huko nchini Nigeria
Sep 21, 2016 07:12Hali ya wasi wasi na machafuko vimeshtadi katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta, kusini mwa Nigeria kutokana na kundi la ulipizaji kisasi la Niger Delta kuongeza hujuma zake za kushtukiza.
-
Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Sep 15, 2016 15:57Waislamu nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Jeshi la Nigeria: Tumeazimia kurejesha usalama eneo la Niger Delta
Sep 11, 2016 04:34Jeshi ya Nigeria limetangaza kuwa, licha ya kushadidi mashambulizi ya waasi wa Ulipizaji Kisasi katika eneo la Niger Delta kusini mwa nchi hiyo, lakini limeazimia kurejesha usalama ana amani eneo hilo.
-
HRW: Wapiganaji wa Niger Delta wasisamehewe kwa jinai zao
Sep 07, 2016 07:51Taasisi moja ya kutetea haki za binaadamu nchini Nigeria imetaka kutosamehewa na rais wapiganaji wa kundi la ulipizaji kisasi la Niger Delta nchini humo.
-
Uchumi wa taifa la Nigeria waporomoka
Sep 01, 2016 03:41Takwimu zilizotolewa kuhusu pato la ndani la taifa zinaonyesha kuwa, uchumi wa nchi ya Kiafrika ya Nigeria umeporomoka. Takwimu hizo zinaonesha kuwa, uchumi wa taifa hilo lenye uchumi mkubwa barani Afrika ulishuka kwa zaidi ya asilimia 2% katika robo ya pili ya mwaka huu.
-
Buhari: Kiongozi wa Boko Haram amejeruhiwa katika mashambulizi ya anga
Aug 28, 2016 14:16Rais wa Nigeria ameeleza kuwa waasi wa eneo la Niger Delta na wanamgambo wa kundi la Boko Haram wanatambuliwa hivi sasa kuwa matishio mawili hatari.