-
Waislamu na Wakristo waanzisha kituo cha amani kati ya dini nchini Nigeria
Aug 27, 2016 03:07Kwa mara ya kwanza Waislamu na Wakristo nchini Nigeria wameanzisha kituo amani kati ya wafuasi wa dini hizo nchini humo.
-
Mgogoro wa kiuchumi wa Nigeria
Aug 21, 2016 23:26Nigeria imeikabidhi Afrika Kusini nafasi yake kama nchi ya kwanza yenye uchumi wenye nguvu kuwba zaidi barani Afrika.
-
Maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru yaendelea Nigeria
Aug 12, 2016 10:33Kwa mara nyingine Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Yaqoub El Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Waislamu Nigeria watoa wito wa kuwasaidia Wakristo wanaokabiliwa na vitisho vya Boko Haram
Aug 11, 2016 09:34Kituo cha masuala ya kijamii ya Waislamu na Kituo cha kulinda haki za Waislamu nchini Nigeria, vimewatala Waislamu wote wa nchi hiyo kusimama kuwatetea Wakristo wanaokabiliwa na vitisho vya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
HRW yaitaka serikali ya Nigeria kumuachilia huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu
Aug 04, 2016 03:27Shirika la Kutetea Hazi za Binaadamu 'Human Rights Watch' limeitaka serikali ya Nigeria kumuchilia huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake.
-
Nigeria kupambana na ukatili wa kijamii dhidi ya wanawake
Aug 01, 2016 09:11Waziri wa Masuala ya Wanawake na Ustawi wa Jamii nchini Nigeria amesisitizia juu ya udharura wa kukabiliana na ukatili wa kijamii dhidi ya wanawake nchini humo.
-
Jeshi la Nigeria laahidi kukomboa maeneo yanayodhibitiwa na Boko Haram
Jul 24, 2016 09:00Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, litaendeleza operesheni zake hadi kuyakomboa maeneo yote yanayodhibitiwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.
-
Operesheni dhidi ya Boko Haram yakabiliwa na uhaba wa mafuta
Jul 24, 2016 23:49Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Nigeria amesema kuwa, uhaba wa mafuta ya ndege za kijeshi kwa sasa ndilo tatizo kuu linaloikabili operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Ahadi ya jeshi la Nigeria ya kukomboa maeneo yanayodhibitiwa na Boko Haram
Jul 24, 2016 09:31Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, litaendeleza operesheni zake hadi kuyakomboa maeneo yote yanayodhibitiwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.
-
Jeshi la Nigeria laapa kukomboa maeneo yanayoshikiliwa na B/Haram
Jul 23, 2016 12:20Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa litaendeleza mashambulizi yake hadi kukombolewa maeneo yote yanayodhibitiwa na kundi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.