-
Rais wa Niger azitaka nchi za Afrika Magharibi kuunda kikosi dhidi ya ugaidi
Jul 12, 2016 07:39Rais wa Niger ametoa wito wa kuuundwa kikosi maalumu katika eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na mashambulio ya kigaidi.
-
Watu wasiojulikana washambulia kituo cha mafuta cha Shell Nigeria
Jun 24, 2016 14:28Polisi nchini Nigeria imethibitisha kujiri shambulizi dhidi ya kituo cha mafuta kinachomilikiwa na shirika la mafuta la Shell katika jimbo la Imo, kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mashirika ya kijamii Nigeria: Boko Haram ni hatari kwa watoto wadogo
Jun 19, 2016 07:55Shirika moja lisilo la kiserikali nchini Nigeria kwa kifupi PIN, limeonya juu ya mwenendo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wa kuwatumia watoto wadogo katika jinai zake.
-
Wanachama wa Boko Haram waua wanawake 18 kaskazini mwa Nigeria
Jun 17, 2016 14:44Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamewaua wanawake 18 kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Waasi wa Delta: Ni sisi tulishambulia bomba la mafuta la Akwa Ibom
Jun 17, 2016 14:34Waasi wa Ulipizaji Kisasi wa Niger Delta nchini Nigeria wametangaza kuhusika na shambulio dhidi ya bomba la mafuta katika jimbo la Akwa Ibom.
-
Wakimbizi 10 hupoteza maisha kila siku nchini Nigeria
Jun 13, 2016 02:48Duru za kieneo nchini Nigeria zimeeleza kuwa wakimbizi 10 hufariki dunia kila siku katika kambi ya wakimbizi nchini humo.
-
Serikali ya Nigeria: Tupo tayari kuzungumza na waasi wa Niger Delta
Jun 08, 2016 06:53Hatimaye serikali ya Nigeria imewaalika waasi wa Ulipizaji Kisasi wa Niger Delta kwa ajili ya mazungumzo ya kuhitimisha mgogoro wa kusini mwa nchi hiyo.
-
Kituo cha Kiislamu Nigeria chagharamia operesheni ya macho katika mwezi wa Ramadhan
Jun 07, 2016 03:29Kituo cha uratibu cha Waislamu nchini Nigeria kimetangaza kujitolea kugharamia operesheni ya macho kwa raia kwa mnasaba wa kuingia mwezi mtukufu wa Ramdhani.
-
Nigeria: Tumedhibiti mabilioni ya Dola zilizokuwa zimeporwa na mafisadi
Jun 05, 2016 04:12Serikali ya Nigeria imetangaza kunasa na kudhibiti mali na fedha za umma zinazokaribia Dola bilioni 11 za Marekani zilizokuwa zimeporwa na mafisadi.
-
Maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo la kusini mwa Nigeria
Jun 01, 2016 06:59Polisi katika jimbo la Niger Delta kusini mwa Nigeria wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo hilo.