Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Netanyahu: Israel haitaondoka katika maeneo ya kusini ya Syria iliyoyavamia

    Netanyahu: Israel haitaondoka katika maeneo ya kusini ya Syria iliyoyavamia

    Dec 08, 2025 03:00

    Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amesema, jeshi la utawala huo halitaondoka katika maeneo liliyoyavamia na kuyakalia kwa mabavu ya kusini mwa Syria.

  • Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Nov 26, 2025 08:48

    "Sera za waziri mkuu Benjamin Netanyahu zimepelekea kushindwa Israel katika pande zote za kidiplomasia, kijeshi, na kimkakati, hususan dhidi ya Iran". Hayo ni kwa mujibu wa Haaretz, gazeti la Israel linalochapishwa kwa lugha ya Kiebrania.

  • Gazeti la Haaretz lamuonya Netanyahu: Israel inaelekea kuporomoka kwa ndani

    Gazeti la Haaretz lamuonya Netanyahu: Israel inaelekea kuporomoka kwa ndani

    Nov 25, 2025 23:32

    Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeikosoa serikali ya utawala wa kizayuni wa Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu, likionya kwamba utawala huo unaelekea kuporomoka kwa ndani huku Netanyahu akifanya juu chini ili kuanzisha vita vipya kwa ajili ya eti kuzuia kile gazeti hilo linachokiita "uangamiaji wa Israel".

  • Mamdani: Ikiwa Netanyahu atakuja New York katika mkutano ujao wa UNGA nitaamuru akamatwe

    Mamdani: Ikiwa Netanyahu atakuja New York katika mkutano ujao wa UNGA nitaamuru akamatwe

    Nov 17, 2025 07:19

    Meya Mteule wa jiji la New York Zohran Kwame Mamdani ameambia televisheni ya ABC News kwamba atatoa hati ya kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu endapo ataingia ndani ya ardhi ya Marekani mwaka ujao kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Mshindi wa Tuzo ya Nobel ampongeza Netanyahu kwa vita dhidi ya Gaza

    Mshindi wa Tuzo ya Nobel ampongeza Netanyahu kwa vita dhidi ya Gaza

    Oct 19, 2025 03:02

    María Corina Machado, kiongozi wa upinzani wa Venezuela na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ametoa shukrani zake za dhati kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa maamuzi yake 'magumu' wakati wa vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza.

  • ICC yatupilia mbali rufaa ya Israel dhidi ya hati za kutiwa nguvuni Netanyahu na Gallant

    ICC yatupilia mbali rufaa ya Israel dhidi ya hati za kutiwa nguvuni Netanyahu na Gallant

    Oct 18, 2025 23:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa ombi la utawala wa kizayuni wa Israel la kukata rufaa dhidi ya hati za kukamatwa waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo ghasibu Yoav Gallant kuhusiana na mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi la kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Netanyahu ndiye aliyeamuru kushambuliwa kwa droni meli za msafara wa Sumud  bandarini Tunisia

    Netanyahu ndiye aliyeamuru kushambuliwa kwa droni meli za msafara wa Sumud bandarini Tunisia

    Oct 05, 2025 22:52

    Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ghaza zilizokuwa zimetia nanga kwenye bandari ya Tunisia.

  • Netanyahu aiomba US iishinikize Misri ipunguze kujiimarisha kijeshi kwenye Peninsula ya Sinai

    Netanyahu aiomba US iishinikize Misri ipunguze kujiimarisha kijeshi kwenye Peninsula ya Sinai

    Sep 21, 2025 05:40

    Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameiomba serikali ya Marekani iishinikize Misri ipunguze hatua za kujizatiti kijeshi katika eneo la Peninsula ya Sinai. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa jana Jumamosi na tovuti ya habari ya nchini Marekani ya Axios.

  • Mayahudi wa Othodoksi waanza kuandamana New York dhidi ya Netanyahu kabla hajaelekea UN

    Mayahudi wa Othodoksi waanza kuandamana New York dhidi ya Netanyahu kabla hajaelekea UN

    Sep 18, 2025 06:43

    Mamia ya Wayahudi wa madhehebu ya Othodoksi wamefanya maandamano katika jiji la New York kupinga ushiriki wa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa itakayofanyika wiki ijayo.

  • Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa

    Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa

    Sep 16, 2025 03:17

    Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la "kutengwa," wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa yanaongezeka dhidi ya vita vinavyoendelezwa na jeshi la kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na dhidi ya sera za serikali ya Netanyahu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali ya chuki na ubaguzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS