-
Watawala wapya wa Niger wanaonya juu ya uingiliaji wowote wa kijeshi wa kigeni, Ulaya yatishia kuwawekea vikwazo
Jul 29, 2023 00:07Watawala wapya wa kijeshi nchini Niger wameonya dhidi ya uingiliaji wowote wa majeshi ya kigeni nchini humo baada ya kumtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani, Mkuu wa Gadi ya Rais wa Niger, kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika; huku Umoja wa Ulaya na Ufaransa zikitishia kuiwekea Niger vikwazo.
-
Jenerali Tchiani atangazwa mkuu wa serikali ya mpito Niger
Jul 28, 2023 08:45Jenerali Abdourahmane Tchiani, Mkuu wa Gadi ya Rais wa Niger ameteuliwa kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika, siku moja baada ya jeshi la nchi hiyo kutangaza kuwa limemuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
-
UN yalaani mapinduzi ya kijeshi Niger; wananchi waandamana
Jul 27, 2023 07:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akilaani vikali mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa Niger.
-
Magaidi 55 waangamizwa katika operesheni ya pamoja ya majeshi ya Niger na Nigeria
May 30, 2023 02:45Jeshi la Niger limetangaza kuwa wanajeshi wawili na magaidi 55 wakiwemo makamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la DAESH(ISIS) Afrika Magharibi wameuawa katika operesheni ya pamoja iliyotekelezwa na jeshi hilo na lile la Nigeria.
-
Jeshi la Niger limedai kuua magaidi wasiopungua 20 karibu na Nigeria
Mar 22, 2023 23:23Jeshi la Niger limesema kuwa wiki iliyopita liliua magaidi wasiopungua 20 wa kundi la Boko Haram na kuwtaia nguvuni washukiwa wengine 83 wa kundi hilo katika operesheni waliyofanya kwenye mpaka wa nchi hiyo na Nigeria.
-
Wanajeshi 10 wauawa katika shambulizi la kigaidi kwenye mpaka wa Niger na Mali
Feb 12, 2023 08:20Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa wanajeshi wasiopungua 10 wameuawa katika shambulio la kundi la kigaidi kusini magharibi mwa nchi kwenye mpaka wa Mali.
-
Wizara ya Ulinzi Niger: Watu 1200 wameuawa katika mashambulio ya kigaidi
May 30, 2022 03:10Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali watu 1200 wameuawa nchini humo tangu mwaka 2013 hadi sasa kufuatia mashambulio mbalimbali ya kigaidi.
-
Shambulio la anga la Nigeria laua watoto saba, lajeruhi watano nchini Niger
Feb 21, 2022 04:14Watoto saba wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika shambulio la anga ambalo imeelezwa kuwa limefanywa kimakosa na jeshi la Nigeria katika eneo la Maradi kusini mwa Niger.
-
Magaidi 100 wa Al Qaida wauawa katika mpaka wa Burkina Faso na Mali
Dec 15, 2021 04:37Mamluki 100 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Qaida wameuawa katika oparesheni za pamoja kati ya Burkina Faso na Niger katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Rais wa Niger akosoa udhaifu wa nchi jirani katika kupambana na ugaidi
Dec 09, 2021 01:09Rais wa Niger amezikosoa nchi jirani katika mapambano ya kukabiliana na ugaidi na magendo ya silaha kutoka Libya katika eneo la Sahel Afrika.