-
Ugonjwa wa dondakoo wauwa watu 600 Nigeria, wengi wakiwa ni watoto
Oct 12, 2023 23:07Nigeria imekumbwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa (Dondakoo) yaani Diphtheria ambao umepelekea vifo vya zaidi ya watu 600, haswa watoto, tangu mwezi Desemba mwaka 2022.
-
Mripuko kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta Nigeria waua 37
Oct 03, 2023 09:06Watu wasiopungua 37 wamefariki dunia katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kusafishia mafuta kilichokuwa kinafanya kazi kinyume cha sheria huko kusini mwa Nigeria.
-
Bazoum "akimbilia" mahakama ya ECOWAS, ataka aachiwe huru
Sep 21, 2023 04:05Rais aliyepinduliwa wa Niger, Mohamed Bazoum, amewasilisha kesi mbele ya Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) akitaka aachiliwe huru.
-
Waislamu Nigeria waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 06, 2023 07:07Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Nigeria wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Rais Tinubu awarejesha nyumbani mabalozi wote wa Nigeria
Sep 03, 2023 03:53Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu amewaagiza mabalozi wote wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kona zote za dunia kurejea nyumbani.
-
Shambulizi la kigaidi msikitini laua Waislamu 7 Nigeria
Sep 02, 2023 23:57Genge moja la kigaidi limeshambulia Msikiti mmoja wa jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua Waislamu wasiopungua saba.
-
Nigeria yaahidi kupunguza vikwazo vya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 30, 2023 09:54Msemaji wa ofisi ya rais wa Nigeria amesema nchi hiyo pamoja na Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS zitapunguza baadhi ya vikwazo zilivyoiwekea Niger.
-
Kiongozi wa mapinduzi Niger: Niko tayari kumwachia huru Bazoum
Aug 24, 2023 23:38Kiongozi wa mapinduzi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amekutana na ujumbe wa wanazuoni wa Kiislamu wa Nigeria, huku mashinikizo za kikanda na kimataifa yakiongezeka dhidi ya utawala wa kijeshi wa Niamey kwa shabaha ya kurejesha utawala wa kikatiba.
-
Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger
Aug 19, 2023 07:00Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
-
Maelfu ya Wanigeria waandamana kupinga mashambulizi ya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 13, 2023 04:51Maelfu ya watu nchini Nigeria wamefanya maandamano wakipinga uwezekano wa mashambulizi ya kijeshi ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Kanda ya Afrika Magharibi, (ECOWAS) nchini Niger.