-
Shambulio la kigaidi laua wanajeshi 70 kaskazini mwa Nigeria
Mar 24, 2020 10:14Askari wasiopungua 70 wa jeshi la Nigeria wameuawa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika jimbo la Borno kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Makamanda na wanachama wa Boko Haram wauawa katika hujuma za anga Nigeria
Mar 20, 2020 08:55Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imethibitisha habari za kuangamizwa makamanda wa ngazi za juu na wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona
Mar 20, 2020 08:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Kenya, Nigeria na Bulgaria juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona unaoendelea kuzisumbua nchi mbali mbali duniani.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomba la gesi Lagos Nigeria
Mar 16, 2020 04:37Mlipuko wa bomba la gesi uliotokea katika mji mkuu wa kibiashara wa Lagos nchini Nigeria umepelekea kwa uchache watu 15 kuaga dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
50 wauawa katika shambulio la watu waliobeba silaha Nigeria
Mar 02, 2020 23:53Watu wasiopungua 50 wameuawa baada ya genge la watu waliobeba silaha kushambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
-
Kirusi cha corona chazidi kusambaa duniani kwa kutia mguu Magharibi mwa Afrika
Feb 28, 2020 04:49Mtu wa kwanza aliye na kirusi cha corona katika eneo la chini ya jangwa la Sahara Magharibi mwa Afrika amegunduliwa nchini Nigeria.
-
Polisi Nigeria wampiga risasi na kumuua shahidi kijana mdogo kwa sababu ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky
Feb 27, 2020 23:50Askari Polisi wa Nigeria wamemuua shahidi kijana mdogo wa miaka 15 kwa sababu ya kushiriki katika maandamano ya amani ya kuonyesha uungaji mkono kwa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mahakama ya Kaduna yawaondoa hatiani wanachama 91 wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Feb 23, 2020 10:26Mahakama Kuu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria imewafutia tuhuma zilizokuwa zikiwakabili wanachama 91 wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).
-
Lassa yaingia Lagos, idadi ya waliokufa kwa homa hiyo Nigeria yapindikua 100
Feb 20, 2020 23:12Kesi ya kwanza ya mlipuko wa homa ya Lassa imethibitishwa katika mji mkuu wa kibiashara wa Nigeria, Lagos huku idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo nchini humo ikiongezeka.
-
Makundi yenye silaha yaendelea kumwaga damu Nigeria
Feb 18, 2020 04:35Watu waliojizatiti kwa silaha wameshambulia jimbo la Delta kusini mwa Nigeria na kuua watu 10. Mashuhuda wanasema waliotekeleza ukatili huo walikuwa wamevalia magwanda ya kijeshi.