Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Makumi wauawa katika hujuma ya wabeba silaha Nigeria

    Makumi wauawa katika hujuma ya wabeba silaha Nigeria

    Feb 16, 2020 00:07

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la watu waliojizatiti kwa silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Radiamali za nchi zilizowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Radiamali za nchi zilizowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Feb 02, 2020 04:04

    Serikali ya Eritrea imekosoa vikali hatua ya Washington ya kuwawekea vizingiti raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika wanaotaka kwenda Marekani ikisisitiza kuwa, vikwazo hivyo vya usafiri havikubaliki.

  • Homa ya Lassa yaua watu 41 nchini Nigeria

    Homa ya Lassa yaua watu 41 nchini Nigeria

    Jan 30, 2020 03:41

    Kituo Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukiza nchini Nigeria (NCDC) kimetangaza habari ya kufariki dunia watu 41 kutokana na kuzuka wimbi jipya la homa ya Lassa nchini humo.

  • Mfuasi wa Sheikh Zakzaky auawa na polisi katika maandamano Abuja

    Mfuasi wa Sheikh Zakzaky auawa na polisi katika maandamano Abuja

    Jan 22, 2020 08:40

    Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimemuua kwa kumpiga risasi mfuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria katika maandamano ya kulalamikia kuendelea kushikiliwa gerezani kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Jan 22, 2020 08:37

    Marekani ina mpango wa kuziongeza nchi nyingine saba zikiwemo Tanzania na Nigeria kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wanatarajiwa kuwekewa vikwazo na vizingiti vya kuingia nchini humo.

  • Kuzidi kuwa mbaya hali ya Sheikh Zakzaky chini ya mashinikizo ya serikali ya Nigeria

    Kuzidi kuwa mbaya hali ya Sheikh Zakzaky chini ya mashinikizo ya serikali ya Nigeria

    Jan 11, 2020 23:06

    Katika hali ambayo serikali ya Nigeria inaendeleza mashinikizo yake huku viongozi wa nchi hiyo wakizuia kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo; hali ya kimwili ya mwanazuoni huyo imeripotiwa kuzidi kuwa mbaya.

  • Ripoti: Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yazidi kuwa mbaya

    Ripoti: Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yazidi kuwa mbaya

    Jan 11, 2020 10:11

    Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, hali ya kiafya ya kiongozi huyo anayeshikiliwa gerezani imezidi kuwa mbaya.

  • Waasi wa Nigeria waua wanajeshi 20 na kufanya uharibifu mkubwa

    Waasi wa Nigeria waua wanajeshi 20 na kufanya uharibifu mkubwa

    Jan 09, 2020 04:33

    Askari wasiopungua 20 wa jeshi la Nigeria wameuawa na watu wengine karibu elfu moja wamelazimika kukimbia makazi yao baada ya waasi kushambulia mji mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Jan 07, 2020 04:36

    Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Ripoti ya X-Ray: Kuna vipande 43 vya mabaki ya risasi kwenye mwili wa Zakzaky

    Ripoti ya X-Ray: Kuna vipande 43 vya mabaki ya risasi kwenye mwili wa Zakzaky

    Dec 28, 2019 08:54

    Huku tahadhari juu ya hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky zikiendelea kutolewa; duru za hospitali zimefichua kuwa, vipande vya mabaki ya risasi vimekwama kwenye mwili wa mwahanarakati huyo wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS