Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria

    Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria

    Dec 28, 2019 04:19

    Wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamesambaza mkanda wa video unaoonyesha mauaji ya watu 11 ndani ya Krismasi.

  • Umoja wa Mataifa walaani jinai na ukatili wa magaidi nchini Nigeria

    Umoja wa Mataifa walaani jinai na ukatili wa magaidi nchini Nigeria

    Dec 25, 2019 09:11

    Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani vitendo vya ukatili na jinai zinazofanywa na makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Nigeria iliyoko magharibi mwa Afrika.

  • 30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria

    30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria

    Dec 20, 2019 23:14

    Kwa akali watu 12 wameuawa kwenye mapigano baina ya makabila mawili katika jimbo la Cross River kusini mwa Nigeria mpakani na Cameroon.

  • Taarifa ya Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran kuhusu Sheikh Zakzaky

    Taarifa ya Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran kuhusu Sheikh Zakzaky

    Dec 20, 2019 08:17

    Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran limetoa taarifa likitaka wakuu wa sera za kigeni katika nchi za Kiislamu wafuatilie kadhia ya kufungwa jela kinyume cha sheria Allamah Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kuhakikisha anatendewa haki.

  • Meli kubwa ya mafuta ya India yatekwa nyara na maharamia katika maji ya Nigeria

    Meli kubwa ya mafuta ya India yatekwa nyara na maharamia katika maji ya Nigeria

    Dec 17, 2019 03:54

    Makumi ya Wahudumu wa meli ya mafuta ya India wametekwa nyara katika maji ya pwani mwa Nigeria.

  • Watu 15 wauawa Nigeria katika shambulizi la Boko Haram

    Watu 15 wauawa Nigeria katika shambulizi la Boko Haram

    Dec 15, 2019 04:22

    Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika mji wa Magumeri, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • WHO: Watu milioni 50 wanakabiliwa na matatizo ya kisaikolojia Nigeria

    WHO: Watu milioni 50 wanakabiliwa na matatizo ya kisaikolojia Nigeria

    Dec 15, 2019 04:15

    Shirika la Afya Duniani WHO) limesema mamilioni ya wananchi wa Nigeria wanakabiliwa na tatizo moja au jingine la kiakili.

  • Kundi la Boko Haram laua mateka wanne lililokuwa likiwashikilia Nigeria

    Kundi la Boko Haram laua mateka wanne lililokuwa likiwashikilia Nigeria

    Dec 14, 2019 21:42

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, limewaua mateka wake wanne lililokuwa likiwashikilia, ambao ni mfanyakazi wa shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu nchini Nigeria.

  • Iran: Maadui hawawezi kufunga njia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky magharibi mwa Afrika

    Iran: Maadui hawawezi kufunga njia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky magharibi mwa Afrika

    Dec 12, 2019 04:51

    Hujjatul-Islam Wal Muslimina, Ahmad Marvi ambaye anasimamia haramu ya Imam Ridha (as) katika mji wa Mash'had, kaskazini mashariki mwa Iran amesema kuwa maadui hawawezi kufuta fikra na njia ya Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, barani Afrika kwa kuwa fikra zake zinazidi kuchanua siku hadi siku.

  • Wanigeria waandamana kupinga uingiliaji wa mambo ya ndani wa Ufaransa

    Wanigeria waandamana kupinga uingiliaji wa mambo ya ndani wa Ufaransa

    Dec 10, 2019 04:29

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano nje ya ubalozi mdogo wa Ufaransa mjini Lagos, kupinga na kulalamikia hatua ya Paris ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS