Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Daktari wa Zakzaky: Kubakia kwake hai ni muujiza mkubwa

    Daktari wa Zakzaky: Kubakia kwake hai ni muujiza mkubwa

    Dec 09, 2019 01:53

    Daktari wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema kuwa msomi huyo ameathiriwa na sumu na anapaswa kupewa matibabu haraka iwezekanavyo.

  • Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky

    Dec 08, 2019 08:37

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ina wingi wa matumaini kuwa mazungumzo kati ya Tehran na Abuja yatakuwa chachu ya kuanza safari ya kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Mamia ya waliokuwa wakituhumiwa kuwa ni wanachama wa Boko Haram nchini Nigeria waachiliwa huru

    Mamia ya waliokuwa wakituhumiwa kuwa ni wanachama wa Boko Haram nchini Nigeria waachiliwa huru

    Dec 02, 2019 09:01

    Jeshi la Nigeria limewaachilia huru mamia ya raia wa nchi hiyo waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Rais Buhari: Nitaachia ngazi muhula wangu wa uongozi ukimalizika

    Rais Buhari: Nitaachia ngazi muhula wangu wa uongozi ukimalizika

    Nov 26, 2019 00:45

    Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria ametoa hakikisho kwamba, ataachia ngazi mara tu muhula wake wa uongozi utakapomalizika na kwamba, hana mpango wa kubakia madarakani kwa njia yoyote ile.

  • Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yasisitiza kukabiliana na vitisho vya serikali

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yasisitiza kukabiliana na vitisho vya serikali

    Nov 24, 2019 23:57

    Ofisi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesisitiza katika ujumbe wake uliotuma kwamba watakabiliana ipasavyo na vitisho na hatua za serikali ya nchi hiyo.

  • Waislamu Nigeria wakanusha madai ya polisi kumhusu Zakzaky

    Waislamu Nigeria wakanusha madai ya polisi kumhusu Zakzaky

    Nov 18, 2019 08:18

    Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamekanusha vikali madai ya Idara ya Kiitelejensia ya Nigeria kuwa polisi ya nchi hiyo inamzuilia mwanaharakati huyo wa Kiislamu kutokana na ombi na uamuzi wake mwenyewe.

  • Wakimbizi laki moja wakwama kambini kwa mafuriko Nigeria

    Wakimbizi laki moja wakwama kambini kwa mafuriko Nigeria

    Nov 13, 2019 23:12

    Wakimbizi wa Ndani (IDPs) zaidi ya laki moja wameshindwa kutoka makambini kutokana na mafuriko makubwa yaliyolikumba jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Watu zaidi ya 60 waaga dunia kwa ugonjwa wa kutatanisha uliozuka kaskazini ya Nigeria

    Watu zaidi ya 60 waaga dunia kwa ugonjwa wa kutatanisha uliozuka kaskazini ya Nigeria

    Oct 30, 2019 23:03

    Ugonjwa wa kutatanisha uliozuka katika jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria umeua zaidi ya watu 60 katika jimbo hilo.

  • Ufichaji mambo wa serikali ya Nigeria kuhusiana na hali ya Sheikh Zakzaky

    Ufichaji mambo wa serikali ya Nigeria kuhusiana na hali ya Sheikh Zakzaky

    Oct 27, 2019 23:08

    Familia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo imekuwa ikificha na kukataa kutoa taarifa kuhusiana na hali ya kiafya ya kiongozi huyo pamoja na mkewe.

  • Polisi ya Nigeria yakomboa 'wanafunzi' wengine 150 Kaduna

    Polisi ya Nigeria yakomboa 'wanafunzi' wengine 150 Kaduna

    Oct 20, 2019 04:12

    Polisi nchini Nigeria kwa mara nyingine tena imefanikiwa kuwaokoa watoto na vijana mabarobaro wapatao 150 kutoka katika kituo kimoja ambako walikuwa wakifanyiwa mateso kaskazini mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS