-
Polisi Nigeria yatumia risasi na mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 19, 2019 09:50Polisi nchini Nigeria imetumia risasi hai na mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.
-
Nigeria: Hakuna fedha za kutosha kwa ajili ya kupambana na Boko Haram
Oct 16, 2019 22:09Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi ya Bunge la Nigeria ametangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo haina fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram
-
Jeshi la Nigeria lasafisha maeneo ya kaskazini na kuangamiza waasi
Oct 08, 2019 03:07Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeangamiza waasi wasiopungua 10 katika operesheni iliyofanyika kwenye misitu ya karibu na maeneo ya Birnin Gwari na Janko Hill huko Kaduna yanayosumbuliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya magenge yanayobeba silaha.
-
Magaidi wa Boko Haram waua watu 27 Nigeria
Oct 06, 2019 08:30Watu 27 wamepoteza maisha kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulizi la kigaidi ambalo limetekelezwa na kundi la Boko Haram linalofungamna na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh).
-
Walioteka nyara wanafunzi wa kike Nigeria wataka kikomboleo
Oct 05, 2019 23:20Watu wenye silaha waliowateka nyara wanafunzi sita wa kike wa chuo kimoja pamoja na wafanyakazi wawili wa chuo hicho huko Kaduna Nigeria, wametaka walipwe fedha za kuwakombolea mateka hao.
-
Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika
Oct 04, 2019 23:08Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kuwa, wimbi la mashambulizi yaliyowalenga Wanigeria na wageni wa mataifa mengine ya Afrika huko Afrika Kusini mwezi uliopita yalikuwa aibu kwa bara zima la Afrika.
-
Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria
Oct 03, 2019 03:59Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amekadhibisha uvumi unaosambazwa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii ukidai kwamba, ana nia ya kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu.
-
Polisi Nigeria yawakomboa wanawake waliobebeshwa mimba kwenye 'kiwanda cha watoto wachanga' cha Lagos
Oct 02, 2019 00:43Polisi katika mji mkubwa zaidi nchini Nigeria wa Lagos imewakomboa wanawake na wasichana 19, ambao akthari yao walikuwa wametekwa nyara na kubebeshwa mimba na watu waliopanga kuwauza watoto wao baada ya kuzaliwa.
-
Mripuko wa homa ya manjano waua watu 16 nchini Nigeria
Sep 30, 2019 04:11Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu 16 katika jimbo la Bauchi, kaskazini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Polisi ya Nigeria yawaokoa watoto 500 kutoka katika kituo cha mateso
Sep 29, 2019 09:01Polisi nchini Nigeria imefanikiwa kuwaokoa watoto na vijana mabarobaro kutoka katika kituo kimoja ambacho walikuwa wakifanyiwa mateso.