Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • UN: Mapigano yamefanya watu 40,000 wakimbie Nigeria

    UN: Mapigano yamefanya watu 40,000 wakimbie Nigeria

    Sep 28, 2019 07:44

    Umoja wa Mataifa umesema mapigano na ghasia huko kaskazini magharibi mwa Nigeria zimefanya makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wakimbilie usalama wao katika nchi jirani ya Niger.

  • Mamia ya watoto waliokuwa wakishikiliwa mateka Nigeria waokolewa

    Mamia ya watoto waliokuwa wakishikiliwa mateka Nigeria waokolewa

    Sep 27, 2019 23:09

    Jeshi la Polisi la Nigeria limetangaza habari ya kuwakomboa watu 300, aghalabu yao wakiwa watoto wadogo, ambao walikuwa wameshikwa mateka ndani ya jengo moja katika mji wa Kaduna, kaskazini mwa nchi.

  • DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Sep 26, 2019 04:05

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) limetangaza kuwa, limewaua askari 14 wa jeshi la Nigeria katika shambulio lililofanya hapo jana katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi ya watu waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru

    Makumi ya watu waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru

    Sep 24, 2019 04:40

    Makumi ya watu waliokuwa wametekwa nyara na watu wenye silaha kaskazini magharibi mwa nchi ya Nigeria kwa miezi kadhaa sasa hatimaye wameachiwa huru.

  • Makamanda 7 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wauawa nchini Nigeria

    Makamanda 7 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wauawa nchini Nigeria

    Sep 21, 2019 23:01

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, kwa akali limewaua makamanda saba wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni dhidi ya wanamgambo hao iliyoendeshwa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na majeshi mengine ya nchi kadhaa katika Ukanda wa Ziwa Chad.

  • Mamia ya Wanigeria wamerejea nyumbani wakihofia mashambulizi ya xenophobia

    Mamia ya Wanigeria wamerejea nyumbani wakihofia mashambulizi ya xenophobia

    Sep 20, 2019 03:53

    Maafisa wa serikali ya Nigeria wametangaza kuwa raia zaidi ya 300 wa nchi hiyo wamerejea nyumbani hadi sasa kutoka Afrika Kusini kwa kuhofia mashambulizi yanayowalenga raia wa nchi za Kiafrika wanaoishi nchini humo.

  • Boko Haram yaua watu 9 kwa mishale, mikuki na mapanga Nigeria

    Boko Haram yaua watu 9 kwa mishale, mikuki na mapanga Nigeria

    Sep 19, 2019 09:58

    Watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameshambulia kijiji kimoja huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu tisa.

  • Magaidi wa Boko Haram waua wanajeshi 9 wa Nigeria

    Magaidi wa Boko Haram waua wanajeshi 9 wa Nigeria

    Sep 12, 2019 07:22

    Magaidi wa kundi la Boko Haram wameshambulia kituo cha kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwaua wanajeshi tisa.

  • Mamia ya raia wa Nigeria warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini, Xenophobia yaendela kuchoche ghasia

    Mamia ya raia wa Nigeria warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini, Xenophobia yaendela kuchoche ghasia

    Sep 12, 2019 02:31

    Mamia ya raia wa Nigeria waondoka nchini Afrika Kusini na kureje nchini kwao wiki moja baada ya kushadidi ghasia na mauaji yanayowalenga raia wa kigeni hususan Waafrika wanaoishi nchini humo.

  • Kuendelea uadui dhidi ya Waislamu wa Nigeria; 12 wauawa shahidi katika kumbukumbu ya Ashura

    Kuendelea uadui dhidi ya Waislamu wa Nigeria; 12 wauawa shahidi katika kumbukumbu ya Ashura

    Sep 11, 2019 06:43

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa za chuki na uadui za serikali ya Nigeria dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo, vikosi vya usalama jana viliwafyatulia risasi Waislamu walioshiriki katika kumbukkumbu ya Ashura na kuwaua shahidi kwa akali waombolezaji 12 na kuwajeruhi makumi ya wengine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS