-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Saudia imehusika katika mauaji ya Waislamu Nigeria
Sep 11, 2019 02:24Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao makuu yake mjini London, Uingereza amesema ni mantiki kuhukumu kuwa kulikweko na mkono wa Saudi Arabia katika mauaji ya Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein AS hapo jana nchini Nigeria.
-
Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria
Sep 10, 2019 10:07Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.
-
Mamia ya raia wa Nigeria wanaoishi Afrika Kusini kurejeshwa nyumbani
Sep 10, 2019 03:11Serikali ya Nigeria inatazamiwa kuanza kuwarejesha nyumbani mamia ya raia wake wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia wimbi la ghasia na mashambulizi yaliowalenga wageni katika nchi hizo mbili.
-
Juhudi za Niger na Nigeria za kukabiliana na makundi ya wabeba silaha
Sep 09, 2019 02:57Viongozi wa majimbo ya mpakani ya Niger na Nigeria wamefanya vikao vya pamoja kwa madhumuni ya kukabiliana na vitendo vya mabavu vinavyotekelezwa na makundi ya wabeba silaha.
-
Rais wa Nigeria kutembelea Afrika Kusini baada ya kuvurugika uhusiano
Sep 08, 2019 02:57Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria atatembelea Afrika Kusini mwezi ujao kujaribu kuboresha uhusiano uliovurugika wa nchi mbili kufuatia wimbi la ghasia na mashambulizi yaliowalenga wageni katika nchi hizo mbili.
-
Afrika Kusini yakiri: "Afrophobia" inahusika katika hujuma zinazowalenga raia wa kigeni
Sep 05, 2019 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa tabia ya kujichukulia sheria mkononi dhdi ya raia wa nchi nyingine za Afrika wanaoishi nchini humo ni moja kati ya sababu za mashambulizi na hujuma zinazowalenga wafanyabiashara wa nchi za kigeni katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Nigeria kususia mkutano wa kimataifa wa uchumi, yapinga ukatili dhidi ya wageni Afrika Kusini
Sep 05, 2019 05:17Serikali ya Nigeria iimetangaza kuwa itasusia mkutano wa kiuchumi wa kimataifa uofanyika Cape Town, hatua ambayo imezidisha mivutano wa kidiplomasia baada ya hujuma na mashambulizi yanayowalenga raia wa kigeni huko Afrika Kusini.
-
Wanigeria wenye hasira walipiza kisasi, wapora maduka ya Waafrika Kusini
Sep 05, 2019 00:09Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni huko Johannesburg, Afrika Kusini yameibua hasira kote barani Afrika ambapo maduka yanayomilikiwa na mashirika ya Afrika Kusini yameporwa nchini Nigeria.
-
Licha ya vizuizi vikali vya polisi, maombolezo ya Muharram yafanyika katika miji mbali mbali ya Nigeria
Sep 03, 2019 09:12Hadhara za maombolezo ya mwezi wa Muharram zinaendelea kufanyika katika miji mbali mbali nchini Nigeria licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na polisi ya nchi hiyo.
-
Kuzidi kuzorota afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea mashinikizo ya serikali ya Nigeria
Sep 02, 2019 03:21Baada ya kupita majuma mawili tangu kurejea nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo akitokea nchini India, mashinikizo dhidi yake yameongezeka huku akiendelea kubakia bila ya kupatiwa matibabu.